Rais Samia, Bado hujaona hili ni tatizo tu?

katika watu wa kwanza anaotakiwa kuwapiga chini ni huyo, it is as if anamdharau kwa kuwa ni mwanamke kutokana na mentality ya kidini. Aanze kula pensheni umri ukiwa bado.
Watu walimshauri mama apige chini baraza lote la mawaziri Aunde baraza lake, yeye akadharau!!! Masalia ya dikteta Yana lengo la kumkwamisha
 
Ww mpuuzi kama walivyowapuuzi wengine! Serikali ya awamu ya 5 unayoiita ya kudharimu huyo mama yako hakuwemo? Acha ujinga wa kuweka kabali/wedge, hutafanikiwa!
Mungu ibariki Tz!
Mungu yupi?
Labda mungu wenu marehemu meko
 
Rubbish, magaidi kama ninyi ni punguani tu anayeweza kuwasikiliza. Bishop. Gwajima yuko sahihi kabisa.
 
Cheche huunguza msitu!
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Unafikiri Gwajima ni kichwa maji kama wewe.
 
CHANJO HAZIJAANZA LEO
**************************

Huko nyuma kulipotokea MILIPUKO kama hii ,chanjo zilitengenezwa hivihivi.....baada ya kuthibitika ubora wake tu ZIKAANZA KUTUMIWA.....

Changamoto iko hivi...je tusubiri miaka mingapi ya kufanya majaribio ili tupate hiyo CHANJO BORA KABISA itakayoungwa mkono na akina Askofu Gwajima?!!!

Kazi ya CHANJO yoyote ni kuongeza NGUVU ya KINGA ZAKO ili ziweze KUPAMBANA na NGUVU YA UGONJWA......

Kuna jambo watu hawalielewi....hiyo chanjo inapoingia miilini mwetu ,miili yenyewe ndiyo INAYOZALISHA KINGA MADHUBUTI DHIDI YA UGONJWA HUSIKA.....inashangaza sana SAYANSI KUBAKWA NA SIASA 🀣🀣🀣🀣🀣

#ShimeTujiandaeKuchanjwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Ile saccos imejaa magaidi watupu, wachumia tumbo Wanataka kutuuza mchana kweupe kwa mabeberu.
 
Mwacheni mama aongoze anavotaka. Nyie CDM achaneni urafiki na CCM, ingieni barabarani tupate katiba mpya maana na gaidi mmeshamsahau jela.
 
Sawa MATAGA
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Unafikiri Gwajima ni kichwa maji kama wewe.
Mtu hujulikana UKICHWA MAJI wake pale tu AFUNGUAPO MDOMO KUONGEA....pale tu aandikapo maandishi....

Hongera kwa kuugundua UKICHWA MAJI WANGU πŸ‘

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Umeandika PUMBA tu,unaleta utetezi wa watu mlokua mnaimba nyimbo za mapambio KWA mama anayeupiga mwingi baada ya kuona mambo hayaendi.

Hivi yeye mama Samia anashindwa kuweka wote pembeni awateue nyinyi na Msoga troops muongoze Ili tuone hyo serikali ya kutoka heaven inavyokua?

Wajinga kama nyinyi mpo wengi mnaoamini;

Sabaya kukamatwa na polisi ni sawa,mbowe si sawa KWA polisi haohao.
Mahakama kushinda wapinzani sawa,akishinda serikali Mahakama haina haki.
Nyinyi KWA upumbavu wenu ndo MNAAMINI Mama SSH siyo mwenye maamuzi ya mwisho,ila JPM ndo maamuzi ya mwisho akampiga risasi lisu.

Nyi ni wajinga sanaaaa.


Nyinyi ndo mliimba lowasa FISADI miaka yote,lastly akaja kua Mgombea wenu na kuanza kugombana na wananchi waliowahoji kuhusu maneno yenu ya mwanzo huku mkiamini ni wapinzani wenzenu wa CCM.

Nyinyi ndo mliwapokea na kuwaunga mkono kina Sumaye,Nyalando,kina masha,kingunge,mwapachu na mafisadi kibao nchi hii na kuwapaka mafuta ya kunukia Ili wanukie vizuri ktk jamii.

Nyinyi ni wahuni kama wahuni wengine ndani ya nchi hii,tena ni vision nyumbu wepesi wa kusahau huku mkimtumikia dereva wa anga pale anapopiga gia za angani
 
Wajinga sana
 
Nafikiri wewe ndio mjinga mkubwa.
 

Samia ni zao la serikali ile ile kwahiyo huu ni muendelezo wa ubabe hakuna jipya.
 
Namuomba Mheshimiwa SAMIA amchukulie hatua za kinidhamu huyu Gwajima.
"Unasema rais anashadadia"!!!!

Huwezi kutumia lugha ya kejeli namna hii kwa rais.
Gwajima,ndugai ni sukuma gang Wana mwona Rais ni dhaifu ndo Mana wanajiropokea, ila Rais akiamua kuwanyoosha watajua, hajui wamuulize mbowe Sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…