Rais Samia, bado RC Chalamila na RC Hapi

Zamu ya watu wa Mbeya na Iringa kupunguziwa bei za bia🤣🤣
 
Hoja za kitoto,angeahindwa jukumu kuu la kulinda usalama na kusimamia haki na maendeleo sawa lakini hapa unaleta tantalila nyingi baseless
Baseless kivipi wkt zipo documented? Hana maadili ya uongozi. Huko nje watu wanajiuzulu kwa kulike tu picha ya ngono ila huku eti mpka ashindwe kusimamia haki??

Si ndio hili liliropoka eti JPM anampa mshahara mzuri hadi kapata mchepuko!!

Mara cjui kampa DAS mrembo sana hadi anawahi ofisini n.k

Kuna more pressing issues za kuongea kwa Rais kuliko mshahara wako na mchepuko. Hvi hzi kauli zao hamuoni zina shida?
 
Eti huyo jamaa ni dokta kama ni kweli aliyempa udokta yafaa ashtakiwe hapa taaluma imebakwa
 
Hivi unayasema hata iko mbeya kweli ungekua mbeya au unagari binafsi ungejua ni namna gani bajiji watovu wa nidhamu wanaovatake kushoto hawajali mataa wala vivuko hawana leseni wao akiwaza Kugeuza anageuza popote bilakufikiri
 
Kwa hiyo unashauri biashara treni za abiria ikiwa mbaya wagome, mabasi yasibebe abiria ili wao wapate abiria?

Mbeya Barabara yenyewe moja, unataka bajaji zipite wapi?
Mkuu ukiwa na uwezo mdogo kufikiri, usijisumbue kujibu hoja.
 
Mkuu achana naye huyo.
Upeo wake ni wa kijijini.
 
Achana na wajinga hao,nasema hivi Chalamila haondoki Mbeya na atabakishwa hapo hapo maana huko kuna watu wanajifanya miungu watu na majizi hao ndio kawanyoosha wanapayuka hovyo hapa
Tatizo si kuondoka Mbeya, tatizo ni Chalamila mwenye upeo wa kufikiria bajaji as a way of mass transport zkatika jiji lolote nchini.
Hilo ndio tatizo la kuchukua watu wasio na exposure, watu wa vijijini kuendesha miji.
 

Lengo atoke tu sababu tutatafuta tu [emoji38]
 
Wakitolewa wewe utapata nini??
Miafrika tupo kuombeana nuksi tu.
Wakati hao viongozi wanapiga mzigo wao vizuri tu,hawarembi
Nyie kila siku kuloloma tu, kalaghabaho
 
Kumbe bado sikuku zijazo zitanoga tunasubiri kwenhe Sabasaba na Nanenane mama hajawahi tuangusha
 
Wakitolewa wewe utapata nini??
Miafrika tupo kuombeana nuksi tu.
Wakati hao viongozi wanapiga mzigo wao vizuri tu,hawarembi
Nyie kila siku kuloloma tu, kalaghabaho
Mijitu mishamba ya madaraka haifai popote.
Mtu hana lolote ajualo kiuongozi, badala ya kutatua kero za maendeleo, yeye ni malumbano tu na wananchi.

Ukimpenda Chalamila mchukue mkanywe naye ulanzi!
 
[emoji15][emoji15][emoji15]He!!! kuizi mnawaita wamarekani sio MABEBERU tena
 
Chalamila ni mtu wa kuondolewa kwenye uongozi kwa vile tu hana qualities. Lakini Sabaya, Hapi, Makonda, hawa ni wa kupelekwa mahakamani, kisha gerezani. Maovu yao ni mengi na makubwa.
 
Irudi kama zamani ,vyeo hivyo wapewe 40+ maana hawa vijana wa 20s-mid 30s wana mihemuko sana.
Kwa kawaida hivi vyeo vya Rc na Dc vilikuwa wanapewa waalimu wakuu waandamizi,wanajeshi waandamizi na waganga administration wakuu waandamizi yaani kwa ujumla walitoka sehemu mbalimbali kwenye nafasi za uongozi ngazi ya kati ,waandamizi wabobezi na ataa bila kupanga ilikuwa umri haupungui 36 na kuendelea ,na mwendazake tuu ndio alileta huu ukiukwaji wote huu tulioshuhudia ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…