Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madudu yake mengi Sanaa ukiteuliwa kuchaguliwa kuwa kiongozi usijidai mtawalaNdio hoja ya kumtoa RC hiyo? Acha ujinga
Baseless kivipi wkt zipo documented? Hana maadili ya uongozi. Huko nje watu wanajiuzulu kwa kulike tu picha ya ngono ila huku eti mpka ashindwe kusimamia haki??Hoja za kitoto,angeahindwa jukumu kuu la kulinda usalama na kusimamia haki na maendeleo sawa lakini hapa unaleta tantalila nyingi baseless
Bila kusahau muro, kihongosi atupe raha watz.Zamu ya watu wa Mbeya na Iringa kupunguziwa bei za bia🤣🤣
Eti huyo jamaa ni dokta kama ni kweli aliyempa udokta yafaa ashtakiwe hapa taaluma imebakwaBaseless kivipi wkt zipo documented? Hana maadili ya uongozi. Huko nje watu wanajiuzulu kwa kulike tu picha ya ngono ila huku eti mpka ashindwe kusimamia haki??
Si ndio hili liliropoka eti JPM anampa mshahara mzuri hadi kapata mchepuko!!
Mara cjui kampa DAS mrembo sana hadi anawahi ofisini n.k
Kuna more pressing issues za kuongea kwa Rais kuliko mshahara wako na mchepuko. Hvi hzi kauli zao hamuoni zina shida?
Atabomoka Yeye hotel ipo pale pale.DishMoja Ni kutaka kubomoa hotel ya mtanzania mwenzake kwa chuki.
Hivi unayasema hata iko mbeya kweli ungekua mbeya au unagari binafsi ungejua ni namna gani bajiji watovu wa nidhamu wanaovatake kushoto hawajali mataa wala vivuko hawana leseni wao akiwaza Kugeuza anageuza popote bilakufikiriChalamila ndiye aliyeleta bajaji Mbeya mjini? Hizi ni chuki za kijinga na wivu tu. Mbeya mjini bajaji zimefurika kabla ya ujio wa Chalamila. Pia hata hizo bajaji zipo Kwa ajili ya watanzania hasa tabaka la chini. Hizo gari kubwa unazosema mbona hamzipeleki Isanga?
Mkuu ukiwa na uwezo mdogo kufikiri, usijisumbue kujibu hoja.Kwa hiyo unashauri biashara treni za abiria ikiwa mbaya wagome, mabasi yasibebe abiria ili wao wapate abiria?
Mbeya Barabara yenyewe moja, unataka bajaji zipite wapi?
Mkuu achana naye huyo.Mkuu ni kweli Chalamila haja peleka bajaji Mbeya lkn kilichopo bajaji wanaingilia route za daladala na yeye amesema kama daladala wanaona bajaji zinafaa basi wauze magari wanunue bajaji.
Hakuna mahala ambapo watu wanaishi bila utaratibu kiasi kwamba kila mtu afanye anacho kitaka
Siyo kwa ChalamilaKila kiongozi unae mchukia utakuja hapa JF kudai aondolewe hata kama hana kosa lolote linalojulikana?
Tatizo si kuondoka Mbeya, tatizo ni Chalamila mwenye upeo wa kufikiria bajaji as a way of mass transport zkatika jiji lolote nchini.Achana na wajinga hao,nasema hivi Chalamila haondoki Mbeya na atabakishwa hapo hapo maana huko kuna watu wanajifanya miungu watu na majizi hao ndio kawanyoosha wanapayuka hovyo hapa
Duh, wabongo bhana, hivi unajifikiriajeIrudi kama zamani ,vyeo hivyo wapewe 40+ maana hawa vijana wa 20s-mid 30s wana mihemuko sana.
Chalamila ndiye aliyeleta bajaji Mbeya mjini? Hizi ni chuki za kijinga na wivu tu. Mbeya mjini bajaji zimefurika kabla ya ujio wa Chalamila. Pia hata hizo bajaji zipo Kwa ajili ya watanzania hasa tabaka la chini. Hizo gari kubwa unazosema mbona hamzipeleki Isanga?
Kumbe bado sikuku zijazo zitanoga tunasubiri kwenhe Sabasaba na Nanenane mama hajawahi tuangushaKatika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha wala karama ya uongozi, na RC wa Iringa, Hapi aliyewahi kuwadhalilisha wazee wa chama, kina Makamba na Kinana.
Hawa walikuwa vile vile wanatumika, lazima nao waende zao.
Mijitu mishamba ya madaraka haifai popote.Wakitolewa wewe utapata nini??
Miafrika tupo kuombeana nuksi tu.
Wakati hao viongozi wanapiga mzigo wao vizuri tu,hawarembi
Nyie kila siku kuloloma tu, kalaghabaho
[emoji15][emoji15][emoji15]He!!! kuizi mnawaita wamarekani sio MABEBERU tenaKwa kweli watanzania tupunguze ushabiki. Unalielewa vizuri tukio unalilizungumzia?
Vijana wa kijiji cha Ngole waliharibu miundombinu ya maji iliyokuwa inafadhiliwa na Wamarekani katika kijiji cha Mashese.
Ulitaka mkuu wa mkoa akiwa Kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa afanye nini ili kudhibiti ujinga na upambavu ule? Je huon Kama kauli na amri Ile vilimaliza mgogoro ule ambao kimsingi ungeweza kuleta maafa makubwa Kama watu wa Mashese wangeamua kujibu Mapigo?
Kwa kawaida hivi vyeo vya Rc na Dc vilikuwa wanapewa waalimu wakuu waandamizi,wanajeshi waandamizi na waganga administration wakuu waandamizi yaani kwa ujumla walitoka sehemu mbalimbali kwenye nafasi za uongozi ngazi ya kati ,waandamizi wabobezi na ataa bila kupanga ilikuwa umri haupungui 36 na kuendelea ,na mwendazake tuu ndio alileta huu ukiukwaji wote huu tulioshuhudia ,Irudi kama zamani ,vyeo hivyo wapewe 40+ maana hawa vijana wa 20s-mid 30s wana mihemuko sana.