Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Kwa taarifa Kodi ni 572 tu wala sio hizo mnazojazana ujinga..Nimeweka kikubwa nomesema kuna kodi nyingi katika mafuta takribani shilling 2000 ni kodi katika Lita mmoja ya mafuta-wewe huoni hapo kuna tatizo??
Kwani vita vya Uganda viliisha lini na vyama vya siasa vilianzishwa lini.Nyerere alifosi vyama vingi ila vinakuwa kama kivuli Tu....alifanya hivo ili apate misaada ya mabeberu baada ya kuumia vita vya uganda
Huyu mama bwana! Kwani uchumi wetu sawa na marekani!!!! Yaani mi naona tuache tu kutembelea magari wote tupande daladalaRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
(1) New York umeme haukatikikatiki eti kwa sababu ya matengenezo; ukikatika kwa sababu ya storm hutengamaa baada ya muda usiofika hata robo saa. Kuna subways zinatumia umeme, utawakatia umee treni ikiwa shimoni kwa saa moja si utauwa watu wengi sana? Il sasa mama alikuwa Marekani atakauwa anatoa mfano wa kila siku kutoka Marekani kama vile anajua maisha yote ya marekaniRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Vita Ni miaka ya 70 mwishonKwani vita vya Uganda viliisha lini na vyama vya siasa vilianzishwa lini.
Alikua anasema bei ya mafuta hata Marekani ni kubwa na ni kubwa kuliko TanzaniaMimi nimeomba maneno halisi aliyoyasema huyo Rais, mpaka sasa sijayaona.
Sawa mkuu almost litre 4 kwa elfu 12 sio haba
Mama anapuyanga sana.Na Maisha Marekani Ni Magumu kuliko Tanzania?[emoji38]