Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Swali dogo tu, anafahamu maana ya neno PER CAPITA INCOME??Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Pato la mmarekani ni kubwa kuliko pato la mtanzania uwiano wa pato la mtu na bei za vitu linapunguza sana uwezo wa kununua tzRais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Hapo unazungumizia zaidi ya miaka kumi, kwa hiyo ktk miaka hiyo 10 uchumi wa Tz hauku tengemaa ?, moja wa viongozi ambao walikuwa hawaamini ktk misaada ni Nyerere na hata awamu yake alivyo vifanya vilionekana,moja ya awamu iliyokuwa na viwanda vyingi ilikuwa ya Nyerere mpaka anaondoka aliviacha vina operate, kusema sababu ya misaada hiyo haikiwa akili yake,kwanza anachukia utumwa kutoka nchi za Magharibi na zilikuwa haziivi na nchi za Magharibi.Vita Ni miaka ya 70 mwishon
Vyama Ni miaka ya 90 mwanzon (~10years)
Hakika,Kuna mahali tumekosea kama taifa!
Hiyo ni bei ya wastani (average price). Wastani maana yake kuna bei zaidi ya hiyo $1.20/L na kuna bei chini ya hiyo $1.20/L kutegemea na sehemu. Hajakosea alivyosema Marekani ameona mafuta bei kubwa maana inategemea na alikotembelea.View attachment 2211757View attachment 2211758
Mengine Kokotoa mwenyewe
View attachment 2211754
View attachment 2211755
Mafuta ni global commodity. Bei zake zinategemea na soko la dunia (oil markets). Nchi tajiri na nchi masikini zote zinanunua mafuta kwa bei ya soko la dunia. Hakuna tofauti. Labda ununue mafuta ya black market au uchimbe na kusafisha mafuta yako mwenyewe kama wanavyofanya Iran.Swali dogo tu, anafahamu maana ya neno PER CAPITA INCOME??
Mwanaume akiropoka tunasema amelewa.Kuna wakati naona aibu hata kumsikiliza huyu mama
Hii sentesi inajipinga, kama alitaka watu wawe free kuchagua kwann aliwalazimisha kitu ambacho hawataki?(vyama vingi)Yeye alitaka kila mtu awe free kuchagua chama atakachona ndio maana ,pamoja na vyama vingi kupingwa yy ndiye aliye force kuwepo.Na kama ingekuwa sababu ni hiyo misaada Nyerere hasinge ruhusu vyama vingi, kwani mtu anayeamini maendeleo yanaletwa kwa kufanya kazi na kjjitegemea, kwani katika dunia hii hamna nchi iliyo endelea na kupiga hatua kwa misaada haipo na haitakuja kutokea.
Mbona hasemi amekuta mishahara ya wamarekani ikoje!?Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Nitamjibu nawe ni mfuko wa kukuza mwanangu tuMwanamke akisema WANAUME NI SPERM DONAR TU tena mbele ya umati na vyombo vya habari utamwitaje?
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kuwa watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Kwa akili yako Nyerere angeendelea ungesema ni dikteta, huyo Mwinyi alificha aibu ipi? au ndio kila kitu ruksa?Hii sentesi inajipinga, kama alitaka watu wawe free kuchagua kwann aliwalazimisha kitu ambacho hawataki?(vyama vingi)
Nyerere alikuwa Na misimamo hiyo sikatai.
ila ujamaa ulimshinda ndomaana akamuachia Mzee wa ruksa afungue nchi
Kama hujui Mzee wa ruksa alikuja kuficha aibu ya Nyerere maana baada ya ujamaa kufeli Nyerere Alyona aibu kuukubali ubepari ila ikambidi tu ndomaana akàanza kufosi Hizo sera.
Mzee, ujamaa Na vyama vingi Ni paka Na panya.
Usitudanganye hapa Kuwa Nyerere alikuwa mfuasi wa vyote