Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

Hakufanya research ya kutosha
 
Gharama ukifananisha na nani, inawezekana uchumi wao ndio unaruhusu vile. Yawezekana millioni 2 ninayoipata mimi kwa mwezi mzima hiyo ni pesa ya mfanyakazi wa US kwa masaa 12 aliyofanya kazi kwa siku.
Umeandika nini na mimi nimejibu nini ? ebu naomba urudi kusoma nilichoandika alafu urudi hapa tuendelee na mjadala
 
UMEMALIZA..

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
N
Utatuzi gani unaoutaka wewe? Kwani kuendesha Nchi ni ishu ya mafuta pekee? Hilo la mafuta lipo Tanzania tuu?

Wewe mwenye maarifa tupe utatuzi.
Njia ni nyingi ndugu, No1.kubwa zaidi ni kupunguza au kufuta baadhi ya Kodi ktk Bei ya mafuta. Ktk kila Lita moja ya mafuta Kuna Kodi zaidi ya 15. No.2. Ni bulk purchasing. Au kuinunua mafuta Kwa wingi na kutunza ktk maghala kudhibiti mfumuko na kudhibiti uhaba. No 3. Ni kuinunua mafuta crude au mazito na kuja kuyasafisha huku, mafuta hayo ni Bei mdogo. No.4 Ni kuzuia viongozi wa Serikali kumiliki vituo vya mafuta. Hapa tunavyolalamika nakuhakikishia Kuna watu pesa kwao zinaingia Kwa mabilioni. Kuna kiongozi mmoja ana vituo vya mafuta Nchi nzima havina idadi. Unadhan Bei itapoa? KATIBA MPYA ndo inaandikwa hivyo maana ndo itatatua hayo.
 
Asante

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uhuru gani wewe??? Huu ujinga unaendelea hapa nchini ww unaleta hekaya siziso na mantiki
Ni Kweli tupaze sauti Kwa hoja na tutoe solution ya hayo. Matusi yatawafanya wasijue wamekosea wapi ndo maana Kuna wengine wanasema Eti tunawaonea WIVU wao kuwa mawaziri.
 
Nimeukumbuka ule wimbo tu wa Bongo bahati mbaya 🤣 🐒
 
Hata kama mtoto mdogo huwez kulinganisha mzunguko wa hela kati ya marekani na tanzania even kwenye swala la kipato la mtu mmoja mmoja watu wa marekani wapo juu kuliko sisi.

NAJIULIZA AU IPITISHWE SHERIA KUA MTIA NIA YA URAIS KAMA HAJASOMEA SPECIAL SCHOOL ASIWE MGOMBEA URAIS AU MGOMBEA MWENZA?

Kwa sababu hili swala najiuliza nalo kulifikiria linahitaji GPA ya 4.5?
 

3 bed room house in SD carlifonia ambayo ni Sawa na ya Tanzania bei yake ni $1500, Tanzania 250,000/- huwezi compare Tanzania and USA wana kipato tofauti.
 
Huyu RAHISI(RAIS) ni kichaa yeye anaizungumzia nchi ambayo kiwango Cha chini Cha mshahara ni dola 7.3 kwa saa anafananisha na huku...huyu mama no kichaa Sana yaani kazi mipasho na kulembua macho.[emoji35]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kupata USD 2.00 US ni rahisi kuliko kupata Tshs 3000 Tanzania. Actually kila kitu ni rahisi Tanzania kuliko US. Hiyo haitufabyi tuwe na maisha nafuu kuliko America. Inaelekea Rais amejua hayo baada ya kusafiri this time around. Kila kitu anachozungumza ni America, America, America. Ndiyo maana tunasema Exposure, exposure, exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…