Inategemea na kipato, hata hiyo pipi ya 50 iliwahi kuuzwa senti 50 pia.Msisahau hata kama kipato cha USA kipo juu pia ni wazalishaji ilipaswa hii bidhaa iwe chini zaidi kwa USA compared to Tanzania.
Au sababu kipato kipo juu ndo mtu anunue pipi ya TZS 50 kwa TZS 50,000?
Nilikwambia huna akili utabisha?N
Njia ni nyingi ndugu, No1.kubwa zaidi ni kupunguza au kufuta baadhi ya Kodi ktk Bei ya mafuta. Ktk kila Lita moja ya mafuta Kuna Kodi zaidi ya 15. No.2. Ni bulk purchasing. Au kuinunua mafuta Kwa wingi na kutunza ktk maghala kudhibiti mfumuko na kudhibiti uhaba. No 3. Ni kuinunua mafuta crude au mazito na kuja kuyasafisha huku, mafuta hayo ni Bei mdogo. No.4 Ni kuzuia viongozi wa Serikali kumiliki vituo vya mafuta. Hapa tunavyolalamika nakuhakikishia Kuna watu pesa kwao zinaingia Kwa mabilioni. Kuna kiongozi mmoja ana vituo vya mafuta Nchi nzima havina idadi. Unadhan Bei itapoa? KATIBA MPYA ndo inaandikwa hivyo maana ndo itatatua hayo.
Watu wapo kazini wanajua wanachofanya yani kama sisi tunaona yupo tofauti wenye nchi nao wanajua wapo wrong lakini wanatarget yaoMama hana washauri ama aliokuwa nao wanamuogopa, anatakiwa asiwe anaongea sana maana matamshi yake mengi yanazua utata alafu naona siku hizi anapanic sana hata kwa vitu vidogo tu
Hapo Mama kaupga mwingi!Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.
Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.
Umeona HiloMama hana washauri ama aliokuwa nao wanamuogopa, anatakiwa asiwe anaongea sana maana matamshi yake mengi yanazua utata alafu naona siku hizi anapanic sana hata kwa vitu vidogo tu
Akili zako na za mama ni zile zile au anakuzidi kidogo. Ukiwa mzalishaji ndo bei inashuka? Gesi mbona tunazalisha lkn zinapanda bei kila kukicha? Au unahis marekani anakusambazia kwako huku kwa hyo bei ya chini kuliko huko kwake?? Kuna factors nyingi za bei kutofautiana. Order ya msosi (ugali samaki) kwa mbunge huko serena hoteli bei yake ni tofauti na ya mzibua vyoo kwa mama ntilie wa buza. Japo wote wameagiza msosi wa ugali samaki.Msisahau hata kama kipato cha USA kipo juu pia ni wazalishaji ilipaswa hii bidhaa iwe chini zaidi kwa USA compared to Tanzania.
Au sababu kipato kipo juu ndo mtu anunue pipi ya TZS 50 kwa TZS 50,000?
Ha HahahaahahKuna thread inasema wazanzibari huwa wanagongwa vichwa wakiwa watoto ili wasipate machogo athari zake tunaziona sasa
Na uganda au DRCUlitaka alinganishe na wapi?
Vuka mpaka kanunue huko huko kama Bei ni rahisiNa uganda au DRC
Umeuliza ulinganishaji wa bei. Akili za akina mwigulu hizi ztawatesa sana, mnaropoka tu kama vile maisha mmeshayamaliza hata kwenye upuuzi ninyi ni kukubali tu.Vuka mpaka kanunue huko huko kama Bei ni rahisi