Rais Samia: Bodaboda ni watoto wangu nitakwenda nao 2025

Hamna anae penda mtoto wake awe dereva wa boda boda, achani kumanipulate hao watu kwasbb ya political capital.....mtafutie wstoto wa wenzetu ajira za maana.
Kauli mbovu mbovu kama hizi ndizo zilizoua kilimo, kuna baadhi ya wazazi huko nyuma waliona kilimo ni kama kazi ya laana matokeo yake kizazi na kizazi vijana hawapendi kilimo, kama kuna mzazi hapendi mwanae afanye kazi yoyote halali yenye masilahi hakika mzazi huyo ni mpumbavu!
 
🀣🀣🀣 Yani unafananisha bodaboda na kilimo??
 
Cheap politics, yajayo yanachekesha.

Vichwa tushaona mchezo unaochezwa hapa, nalog off.
 

CCM bhana mbona bado wana siasa za mapichapicha hawa, Bodaboda wamewapanga na kuwatengenezea mabango ili kumdanganya Rais, bado Bodaboda sio kazi
 
..nazungumzia wanaotumia v-8 sasa hivi, lini wataziachia na kuanza kutumia bodaboda?

..kuthibitisha yuko na bodaboda Maza alitakiwa ashuke kwenye v-8 na kupanda bodaboda.
Akipanda watamwangusha, petrol Ina madhara makubwa kwenye UBONGO wa mwanadamu,

Tanks za mafuta kwenye boda zingerudishwa nyuma kuwanusuru boda na Mawenge.

CCM wamezoea cheap politics.
 
Samia anatumia vibaya umama wake. Badala awe Rais wa nchi yeye anajikuta kuwa mama wa wananchi.
Bodaboda sio watoto wake wala wadogo zake, wanae wana ajira serikalini, mmoja kamuozesha kwa Waziri aliyehamishwa wizara nne ndani ya miaka miwili, mwingine alikuwa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kwenye biashara pale Kariakoo na mwingine alichaguliwa UVCCM. Wengine sijui wako wapi ila probably hawaendeshi pikipiki.

Hana undugu nao, kwanza unaweza kuta hajawahi panda hata hiyo bodaboda.
 
🀣🀣🀣 Yani unafananisha bodaboda na kilimo??
Sio kilimo tu na shuhuli zingine halali zinazochangia vipato Kwa watu, babu Yako Yule mkimbizi wa mchongo hata tunaosajili laini katupiga na kitu kizito kichwani eti na sie tumelaaniwa
 
Sio kilimo tu na shuhuli zingine halali zinazochangia vipato Kwa watu, babu Yako Yule mkimbizi wa mchongo hata tunaosajili laini katupiga na kitu kizito kichwani eti na sie tumelaaniwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani unaona kuendesha bodaboda ni sawa na kufanya kilimo ???
 
Daaah hivi hawa watu wa kuwashikisha mabango namna hiyo huwa wanawaokota wapi? Hao watu huwa wako timamu kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…