Kwenye maisha jitahidi sana usitafute huruma za watu.
Bodaboda wapige kazi tu, ule ni mtazamo wa mtu mmoja na siyo watu wote. Nina uhakika familia zinazonufaika kupitia ajira ya bodaboda zina mtazamo chanya na tofauti.
Bodaboda waache kutafuta huruma kwa Rais maana hakuna atakachofanya kitaongeza mapato kwenye biashara yao zaidi watatumika kisiasa tu.
Laana kama haikusaidii kuondoa umasikiniSio ajira ya maana lakini Je, ni laana?
Wangemobilize na kusajiri chama Cha siasa,
HAKIKA wangetoka hapo walipo.
Bodaboda ni LAANA, Vijana wamechanganyikiwa na maisha, Ni Walevi wa Pombe kali na watumiaji wakubwa wa bangi na hao wengine ni chini ya miaka 23. kuna dogo miaka 22 ameshakatwa mguu kutokana na ajali ya pikipiki na kilichosababisha ni Double Kick na bangi na harufu ya Petroli inampagawisha, hana mguu sasa hivi kaingia kwenye bajaji na huyo ni mtoto wa Mkulima wa Dodoma huko. Je kuna Mtoto/Jamaa/Ndugu wa Kiongozi wa CCM anaendesha Bodaboda?..kuna waendesha bodaboda na wamiliki wa bodaboda.
..vijana waendesha bodaboda wana hali ngumu ya kipato, afya zao zinaathirika, na serikali haifanyi jitihada zozote kuwakwamua.
Msiojua ni kuwa hawa kina Lema tayari wako kwenye payroll ya kodi zetu wanalamba asali.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema anatambua kundi la vijana waliojiajiri kupitia bodaboda na yuko tayari kwenda nao mpaka 2025. Rais Samia Suluhu alizungumza hayo aliposimama kuzungumza na wakazi wa Usa River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Vijana hao wa Bodaboda walionyesha kumuunga mkono Rais Samia na kusindikiza Msafara wake kuelekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri.
Aidha madereva bodaboda wamesisitiza kazi yao sio ya laana lakini pia wameishukuru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kuwapa mikopo inayowawezesha kuwekeza kwenye shughuli nyingine kama kilimo na biashara.
Bodaboda tupendekeze Jina la Chama Chetu Cha Siasa,Bodaboda huwa hawanaga upande ukiwapa ten ya mafuta wanakua chawa wako chap tu, hapo kesho lema akiwapa 10 ya mafuta wanasema Ni kweli hii kazi ni ya laana
Msiojua ni kuwa hawa kina Lema tayari wako kwenye payroll ya kodi zetu wanalamba asali.
Bi mkubwa anajua mtaani hakubaliki. Hivyo nia ya kuweza kuchaguliwa ni kuhakikisha chadema anaigawa na kuwapa pesa wenye nguvu ndani ya chadema na matamshi kama ya kina Lema ni Well calculated ili waharibu yeye atengeneze.
Ndio maana kila siku wanamsema mwendazake na sio kueleza sera zao na mikakati.
Na tayari wameshaahidiwa kupewa majimbo wanayotaka.
Lema ana akili? Au unamaanisha nn kusema atumie akili? Unatumia vipi kitu usichokua nacho?Lema atumie akili kujenga hoja kisiasa, sio kuropoka. Watu wameshachukua point 3 muhimu hapo. Hii ni siasa
Na ndio maana nchi hii kuwafanya bodaboda kufuata sheria ni ngumu sana kwani wanasiasa ndio mtaji wao huo!!polisi wakiwabana sana kwenye kufuata sheria utasikia kiongozi wa chama anaibuka kuwa wasionewe!!Hamna anae penda mtoto wake awe dereva wa boda boda, achani kumanipulate hao watu kwasbb ya political capital.....mtafutie wstoto wa wenzetu ajira za maana.
Yaani watu hawajui kusoma na hata picha hawaoni. Style ya Bi. Mkubwa ni ile ya JK. Anakula nao na wao wanazibwa mdomo hawamsumbui ili waendelee kula wote...nakupongeza kwa elimu hii uliyotoa.
..tatizo liko kwa Ccm na linasambaa kwenye vyama vya upinzani.
Mahaba ya muda mfupi yameshaanza kuyageukia makundi ya vijana yenye kujihusisha na ajira ambazo ni "extra-legal". Sasa hivi utasikia machinga wakiruhusiwa kufanya biashara zao sehemu yoyote ile, wale wa rangi za upinde wa mvua hutasikia tamko lolote kali likotolewa kama walivyofanya Mseveni na Rutto hivi karibuni.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema anatambua kundi la vijana waliojiajiri kupitia bodaboda na yuko tayari kwenda nao mpaka 2025. Rais Samia Suluhu alizungumza hayo aliposimama kuzungumza na wakazi wa Usa River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Vijana hao wa Bodaboda walionyesha kumuunga mkono Rais Samia na kusindikiza Msafara wake kuelekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri.
Aidha madereva bodaboda wamesisitiza kazi yao sio ya laana lakini pia wameishukuru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kuwapa mikopo inayowawezesha kuwekeza kwenye shughuli nyingine kama kilimo na biashara.
Fact....Lema atumie akili kujenga hoja kisiasa, sio kuropoka. Watu wameshachukua point 3 muhimu hapo. Hii ni siasa
Mkuu boda boda hazijaanzia huku mzee baba zipo mpaka ulaya yoote,china wana maendeleo na wako juu kuliko sisi ila wanatumia boda boda tena ya baiskeli na wala sio wnafanya mazoezi hapana ni ukosefu wa ajira na family zao zinakwenda MSALANI.Ukishakuwa masikini na akili uchakaa, bodaboda sio ajira
Et! Wana akili gani za kutengeneza bango la aina hiyo na ujumbe huo!Mabodaboda wako organized kihasi hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What a scene
Yuko anaendelea kutukana akina mama walioko kwenye vikoba. Lema bwanaaa. Haaaaaa haaaaaaLema atumie akili kujenga hoja kisiasa, sio kuropoka. Watu wameshachukua point 3 muhimu hapo. Hii ni siasa
Na jina lao litakuwa maafisa fedha au maafisa bankBado watu wa VICOBA nao kuambiwa pia ni watoto wake.