Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Uongo dhambi ujue. Makampuni makubwa yashaanza kukubali malipo ya Bitcoin. Nitakupa mfano wa kampuni ya Japan inayofahamika Tanzania Beforward. Wao wanakubali Bitcoin. Tembelea page yao hapaNimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa
Hakuna mfanyabiashara makini au anayefanya biashara zake kihalali akakubali malipo ya haya mafedha mtandao leo ukiuliza hyo bitcoin mwenyewe au founder ni nani wanasema ni Satoshi Nakamoto yupo wapi hakuna anayejua sasa kama mwanzilishi kajificha hyo ni biashara halali kweli?
Hatuko Tayari it will take ages kuikabili crypto currency. Hatuna uwezo huo BOT na serikali nzimaRais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
SOMA PIA:
1) BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali (Cryptocurrency)
2) BoT yawaonya wanaojihusisha na fedha za kimtandao, yakana kuhusika nazo
3) Gavana wa BoT, Benno Ndulu: Watanzania wanatakiwa kuwa makini na hatari inayoambatana na fedha za kidigitali
British police seize record $408 million haul of cryptocurrency
LONDON (Reuters) -British police have seized record hauls of cryptocurrency totalling 294 million pounds ($408 million) as part of an investigation into money laundering after organised crime groups moved into cyptocurrencies to wash their dirty money.
London police said on Tuesday they had seized 180 million pounds of an undisclosed cryptocurrency less than three weeks after making a 114 million pound haul on June 24 as part of a money laundering investigation.
Ni kweli umakini unahitajika mkubwa kabla ya kuamua hizi sarafu kutumika kama legal tender.Rais kuwa makini na hizi crypto currencies - usipokuwa makini waweza kuifilisi nchi, Angalia kwa nini wahalifu wa kimataifa wanataka malipo kwa hizi currencies, Sababu siyo rahisi kuwatrace, Kama tulishindwa kutrace vijisenti kwenye offshore companies tutwaweza hizi crypto?
Soma hapa Gang behind huge cyber-attack demands $70m in Bitcoin
Nape amesisitiza juzi kati hapa kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari.Haya ni maagizo ya 2021,je yameanza kutekelezeka?
Pyramid scheme.Naomba kujuzwa,hasara na faida zake .Kama una mifano halisi itafaa zaidi