Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Uongo dhambi ujue. Makampuni makubwa yashaanza kukubali malipo ya Bitcoin. Nitakupa mfano wa kampuni ya Japan inayofahamika Tanzania Beforward. Wao wanakubali Bitcoin. Tembelea page yao hapaNimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa
Hakuna mfanyabiashara makini au anayefanya biashara zake kihalali akakubali malipo ya haya mafedha mtandao leo ukiuliza hyo bitcoin mwenyewe au founder ni nani wanasema ni Satoshi Nakamoto yupo wapi hakuna anayejua sasa kama mwanzilishi kajificha hyo ni biashara halali kweli?