Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Nimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa

Hakuna mfanyabiashara makini au anayefanya biashara zake kihalali akakubali malipo ya haya mafedha mtandao leo ukiuliza hyo bitcoin mwenyewe au founder ni nani wanasema ni Satoshi Nakamoto yupo wapi hakuna anayejua sasa kama mwanzilishi kajificha hyo ni biashara halali kweli?
Uongo dhambi ujue. Makampuni makubwa yashaanza kukubali malipo ya Bitcoin. Nitakupa mfano wa kampuni ya Japan inayofahamika Tanzania Beforward. Wao wanakubali Bitcoin. Tembelea page yao hapa
Screenshot 2021-07-06 15.29.35.png
Screenshot 2021-07-06 15.29.35.png
 
British police seize record $408 million haul of cryptocurrency

LONDON (Reuters) -British police have seized record hauls of cryptocurrency totalling 294 million pounds ($408 million) as part of an investigation into money laundering after organised crime groups moved into cyptocurrencies to wash their dirty money.

London police said on Tuesday they had seized 180 million pounds of an undisclosed cryptocurrency less than three weeks after making a 114 million pound haul on June 24 as part of a money laundering investigation.
 
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.

SOMA PIA:

1) BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali (Cryptocurrency)

2) BoT yawaonya wanaojihusisha na fedha za kimtandao, yakana kuhusika nazo

3) Gavana wa BoT, Benno Ndulu: Watanzania wanatakiwa kuwa makini na hatari inayoambatana na fedha za kidigitali
Hatuko Tayari it will take ages kuikabili crypto currency. Hatuna uwezo huo BOT na serikali nzima

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
British police seize record $408 million haul of cryptocurrency

LONDON (Reuters) -British police have seized record hauls of cryptocurrency totalling 294 million pounds ($408 million) as part of an investigation into money laundering after organised crime groups moved into cyptocurrencies to wash their dirty money.

London police said on Tuesday they had seized 180 million pounds of an undisclosed cryptocurrency less than three weeks after making a 114 million pound haul on June 24 as part of a money laundering investigation.

Mbona fedha feki zinachapishwa na kukamatwa kila siku lakini hujawahi kusema?
 
Rais kuwa makini na hizi crypto currencies - usipokuwa makini waweza kuifilisi nchi, Angalia kwa nini wahalifu wa kimataifa wanataka malipo kwa hizi currencies, Sababu siyo rahisi kuwatrace, Kama tulishindwa kutrace vijisenti kwenye offshore companies tutwaweza hizi crypto?
Soma hapa Gang behind huge cyber-attack demands $70m in Bitcoin
Ni kweli umakini unahitajika mkubwa kabla ya kuamua hizi sarafu kutumika kama legal tender.
 
Haya ni maagizo ya 2021,je yameanza kutekelezeka?
 
Naomba kujuzwa,hasara na faida zake .Kama una mifano halisi itafaa zaidi
 
Back
Top Bottom