Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

6889C129-A99C-4475-B528-893777B3704F.jpeg

Unaweza kununua kuanzia elfu ili uweze kuelewa vizuri nunua hata ya buku tano inakusaidia kuisoma vizuri
F91CC9E8-667F-4817-9B0D-28472FC819B0.jpeg


3923DF52-C831-4705-B406-3A5FE6263DA6.jpeg
 
IT sio lazima kutumia wakwetu wako online wanatengeneza wallet za btc kwenye website gate ways kwa mda nfupi mno

Police watajua tu kulingana na mazingira na vigezo vya kuajiri inabidi wapitie upya
Yes upo sahihi, IT hata kitaa wapo wengi wazur, tatizo huko serikalini wengi ni incompetent ndo maana wanaogopa sana technology mpya kwa sababu hawataweza kui counter attack, angalia mfano wa matumizi ya VPN hapa kwetu.
Nawashauri Serikali waunde funded Entity/platform litakalojihusisha na mambo ya IT litakalojumuhisha watu waliotoka formal education na wale wa self learning, hapo wataweza kupata vipaji vingi.
Waache kung'an'gania sana GPAs kubwa sababu ni applicable sana in theory, kusoma sana na kufiria vyema ni inversely proportional. Waangalie wenzao private companies, mambo mengi ya IT makubwa yanafanywa na unnoticeable people in formal education, ila baadae wanakua role models katika kipengele flani cha IT.
 
Umefungua kwa location ya TZ? Au details za nje?
Hii sarafu haina location mkuu tusipotezane


Kwanini baadhi ya watu wanafikiri hii sarafu ni utapeli?

Ukweli ni kwamba kuna wahuni wanatumia hii sarafu kutimiza malengo yao japokua ni ngumu sana kumpata kila mtu wanawapata watu wachache sana na kuishia kuichafua Sarafu

Kwanfano kwenye kuwekeza

Unakuta website au app wameweka calculator ya return kwamba ukiweka elfu Tsh 10,000 utapata Tsh 5,000 payout daily ukiweka 100,000 utapata elfu Tsh 50,000 daily payout
ukita ku withdraw kila baada ya mwezi utapa payout Tsh 100,000 mala siku kwa mwezi plus pesa yako ya deposited

Ukisha chagua kifurushi Chako cha kutapeliwa unaingia kwenye webite zinazouza btc unanunua za laki nfano kama umechagua kifurushi cha laki

Kisha unafanya malipo baada ya Dk moja ukiangalia kwenye wallet yako ya btc utakua balance za btc sawa na kiasi cha kifurushi chako kisha utakua ume log in kwenye website kule unakokwenda kuwekeza unachukua address ya kupokelea btc kwenye deposit kisha una copy una past Dk moja kifurishi choko kina soma jinsi ya kunua btc nitaweka picha chini

kwa mtu mjanja sidhani kama anaweza kuingia kwenye huu mtego kichwa kichwa wa kulala masikini na kuamka millionia

Kwanini matapeli wanaweka gate ways za btc Nigumu kurudisha hizo sarafu ukipigwa hakuna pakuanzia inabidi uwe mpole ukubali matokeo kua kuna watemi mtadaoni

Watu Wakisha tapeliwa ukimwambia Habari za sarafu ya mtandaoni atakwambia sitaki hata kusikia hawasemi kama waliingia kwenye upatu kwakutumia btc wanaongea jumla jumla kwa btc na sarafu za mtandaoni ni utapeli

26425F4C-DC54-45A0-B30F-B4DBB1005C5A.jpeg


248FB5AB-1EAA-4A2F-B8D7-ACD1B1FB37ED.jpeg
 
Kumekuwa na tabia ya watu kupindisha maneno ya Samia na Viongozi wengine!
Weka nukuu ya alichosema au link?
sasa km taarifa km hizi unakua hujazipata wkt mama kasema openly, ss kwenye internet unafatiliaga nini! Porn?
 
sasa km taarifa km hizi unakua hujazipata wkt mama kasema openly, ss kwenye internet unafatiliaga nini! Porn?
Hii niliuliza Jumapili ilikuwa ni muda sio mrefu tangu Samia aliposema. Ilikuwa bado haijaenea hata vyombo vya habari hapa Tanzania vilikuwa bado havija andika. Nadhani huyu aliyeleta hii thread ndio alikuwa kwanza kuandika!
Sio wote tunaganda kwenye Tv kusikiliza hotuba za rais.
Sasa leo ni 4/5 tangu aseme hayo. Wewe ndio unakuja kudandia post bila kuangalia mazingira. Bure kabisa..
 
Use
Mama Rais wangu Samia Suluhu, mambo ya digital Currency tusikimbilie kwanza, ni fedha ambazo ni very unstable, leo unaamka iko juu, kesho mwenye share kubwa kafa au kasema negative about future hela inashuka kama upepo.. Tusikimbilie kabisa
Uwe unasikiliza vizuri kabla hujacomment! Alisema wafuatilie mambo yanavyokwenda hakusema tuanze kutumia digital currency!
 
Ulimwengu wa cryptocurrency haukwepekii yaaani... Cha muhimu usipitwe na fursa hii ukaja jilaumu ooh nngejua nngewekaa cjui nn, fanya research, somaaa, wekezaa achana na wapuuzi wanaokatisha wenzao tamaaa
255765758143_status_2d4701c0999947b89d3f269b78080a2c.jpg
 
Mama naona anaelea kwenye mstari wa uchumi wakufaidisha watu wengi

Nikipata nafasi ya kukutana yae nitanshauri mambo mengi sana mazuri hasa kwenye upande wa wajasiriamali

Pesa za kigeni tunazikosa Kwasabu ya uzembe wa viongozi wa ccm kutokuwa wabunifu kwa muda mrefu

Kwanfano dunia iko kwenye e-commerce tuna weza uza bidhaa zetu kama mazao Madini na vitu kibao kwanjia ya online kupita EMS Posta nakupata pesa za kigeni lakini kuna vikwazo vya kufa mtu

Bidhaa zandani pia serekali inabidi sera na mipango inayokwenda na wakati watu wanatoka kwenye nfumo wa kuuza bidhaa madukani kuhamia kwenye maduka ya online Dunia iko huko kitambo
Bongo ni bahati mbaya kwa kweli! Dogo Fernandez wa Nala alipata usajili kenya na uingereza lakini bongo wakamkatalia.
 
Nimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa

Hakuna mfanyabiashara makini au anayefanya biashara zake kihalali akakubali malipo ya haya mafedha mtandao leo ukiuliza hyo bitcoin mwenyewe au founder ni nani wanasema ni Satoshi Nakamoto yupo wapi hakuna anayejua sasa kama mwanzilishi kajificha hyo ni biashara halali kweli?
It's new world order hutaki unataka lazima utakuja kutumia crypocurrency
 
By Samuel Shen and Alun John 19/06/2021

SHANGHAI/HONG KONG (Reuters) - China's crackdown on cryptocurrency "mining" has extended to the southwest province of Sichuan, where authorities ordered cryptocurrency mining projects closed in the major mining centre.

Cryptomining is big business in China, accounting for more than half of global bitcoin production. But the State Council, China's cabinet, last month vowed to clamp down on bitcoin mining and trading as part of a series of measures to control financial risks.

kasese au kasheshe ,msivamie mambo kwa kutafuta umaarufu.
 
China juzi juzi imepiga marufuku Cryptocurrencies kutoka na sababu mbali mbali. Tesla nayo imetengua uhamuzi wake wa awali wa kukubali malipo ya crypto.

Crypto inakubalika nchi kama El Salvador ambayo inanuka rushwa!!
Kwani watoa Rushwa wanatumia Crypto-currency kutoa Rushwa? Hayo ni mawazo yako tu...

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
China ndio role model wenu pumbavu , China is a surveillance Caged hell hole

Sisi pumbavu were mshenzi!! Wenye fedha wakina Elon Mask nao pia wamezishtukia crypto currencies!!! Sio vizuri kuiga TEMBO mwisho wake unaweza kuwa mbaya! Learn to be cautious.
 
Sisi pumbavu were mshenzi!! Wenye fedha wakina Elon Mask nao pia wamezishtukia crypto currencies!!! Sio vizuri kuiga TEMBO mwisho wake unaweza kuwa mbaya! Learn to be cautious.
China sio kwamba walishuku crypto currencies kuna kitu kinaitwa mining ni sehemu ndogo ya crypto acha kukariri mambo someni ccm kuelewa hii kitu vizuri si chini ya miaka 3 acha uvivu wa kusoma
 
China sio kwamba walishuku crypto currencies kuna kitu kinaitwa mining ni sehemu ndogo ya crypto acha kukariri mambo someni ccm kuelewa hii kitu vizuri si chini ya miaka 3 acha uvivu wa kusoma
Wewe mbwiga hujasema lolote la maana hapo; kama China hawakushuku walifanya nini na hicho kitu unachoita kidogo?
 
Wewe mbwiga hujasema lolote la maana hapo; kama China hawakushuku walifanya nini na hicho kitu unachoita kidogo?
China alichofanya ni kuzuia cryptocurrency mining. Lakini sio crypto sina muda wa kukuelezea Crypto Mining ni nini katafute vitabu usome. Sio unabishana vitu ambavyo huvijui.
 
China alichofanya ni kuzuia cryptocurrency mining. Lakini sio crypto sina muda wa kukuelezea Crypto Mining ni nini katafute vitabu usome. Sio unabishana vitu ambavyo huvijui.
ccm kila kitu wako nyuma kwasabu ya uvivu wakusoma, hawa watu ukiwaambia matumizi ya satellite watakubia ya kazi gani bomba dia zinatosha wanashindwa kutofauti satellite na ndege unategemea nini crypto si unawaoteza kabisa
 
Back
Top Bottom