Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Typing error"starde " ni kitu gani ,samahani najitaji kufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing error"starde " ni kitu gani ,samahani najitaji kufahamu
Kamanda vipi. Mbona umeongea kinyonge sana?Hii inaweza kuwa ni kutafuta legacy kwa gharama ya Taifa zima.
Kalime mwenyewe hakuna aliyekuzuia..Hatujaweza kilimo hata cha Alizeti, tunaingia kwenye cryptocurrency
Umefungua kwa location ya TZ? Au details za nje?Nina zero balance Mkuu. Nikupe email yangu uniongezee salio kidogo?
I see....kuna wale watu wa network marketing ambao wanachukua maisha ni rahisi kwa kuuza mambo hewa hewa....safari njemaKalime mwenyewe hakuna aliyekuzuia..
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
SOMA PIA:
1) BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali (Cryptocurrency)
2) BoT yawaonya wanaojihusisha na fedha za kimtandao, yakana kuhusika nazo
3) Gavana wa BoT, Benno Ndulu: Watanzania wanatakiwa kuwa makini na hatari inayoambatana na fedha za kidigitali
Je hiyo milioni 77 nikitaka kuwa nayo mkononi nafanyaje?1Bitcoin=$35,6000
1Bitcoin=Tsh 77 milioni
Naomba nijuze thamani 1 ya QNET= Dollar kiasi gani?
Naomba nijuze ili nipate QNET 1 natakiwa niwe Tsh kiasi gani?
😂😂😂 ukifanya malipo kwa njia Cypro huwezi kumtambua unayemtumia never na huwezi kum track mahali alipo hata utumie ma CIA 😂😂😂 hutamkamataKupanda na Kusha nikawaida hata dolla upanda na kushuka kulingana na demand
Kuhusu utapeli iko hivi kwanfano matepili waweza kuingi kwenye Database ya system ya bank kisha wanatia password yao nakuweka ujumbe kwamba mkitata tuachilie system yenu tuma bilioni moja kwenye Address hii ya btc tuachie system yenu isipungue hata mia
Kisha wanakaa kimya wanajua bank wakipoteza saa moja bila kutoa huduma usumbufu utakua nkubwa sana lazima bank itatuma hicho kiasi cha pesa
Baada ya kutuma vyombo vya ulinzi na usalama waneza ku track na kupata IP address ya mpokeaji kama hatumii VPN
Swalilangu kati ya VPN na sarafu kipi ni kikwakozo kwa mpelelezi?
Wakiweza kuzuia matumizi ya VPN nadhani utakuwa mwisho wa utapeli kwa kutumia sarafu
Bongo mtu anaenda kwa wakala anasajili line kwa alama za vidole anajilipua na kutepeli watu kila siku na pokea msg za tuma kwenye namba hii hawa nao Vipi wanatumia sarafu?
Lkn nadhani mama ameitaja tu Bitcoin na crypto currency kama mfano. Alimaanisha sarafu mtandao kwa ujumlaMimi ni mwana forex ila hii bitcoin sitaki hata kuifuatilia.
Ni page gani hii?kumbe kauli ya raisi ina nguvu hiviView attachment 1818358
Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Natumia Hii sarafu tangu 2010 hadi leo btc moja ikiwa sawa na m.2 Tzs nimefanya naendelea kufanya transactions nyingi sana kutuma na kupokea Kama unataka ligi sina muda wakubisha na mtu😂😂😂 ukifanya malipo kwa njia Cypro huwezi kumtambua unayemtumia never na huwezi kum track mahali alipo hata utumie ma CIA 😂😂😂 hutamkamata
Kwanza unajua namna malipo yake yalivyo?