Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
Uwezi kupokea pesa ukiwa bongo japokua Safaricom ya Kenya unapokeaSawa Mkuu, kwahiyo kumbe ukiwa na PayPal account huwezi pokea pesa ukiwa Bongo si ndio? Yaani account unakuwa nayo ila kwenye kupokea pesa ndio haiwezekani? Naomba unieleweshe zaidi, maana mie nachofahamu ni kuwa, kuna PayPal account na Bank account unayoweza link na PayPal account. Unaweza kuwa na pesa kwenye PayPal account na bado usitake kuzihamisha pesa kwenda kwenye Bank account.
PayPal kufanya malipo nilazima ulink card ya bank au taasisi za kifedha card yenye uwezo wa kufanya malipo online kama visa au MasterCard
Uspo link na card ya bank au kampuni ya simu au Taasi za kifeha unaweza kupokea pesa kama umefungulia account yako ya PayPal nje ya bongo kwenye nchi zinazopokea pesa lakini bado uwezi kuzitoa kwasabu gate way ni card ya bank labda uzifanyie manunuzi ju kwa juu au nunue btc online kisha uziuze