🙄Majuzi walitoa tangazo la ku-scan vyeti vya shule, kuzaliwa, kuanza kazi, ndoa nk. Iwe imekamilika ndani ya siku 2 la sivyo hupati mshahara. Wenye stationery walipiga pesa balaa. Kila cheti huku kijijini kwetu ilikuwa buku halafu vyeti zaidi ya kumi.
Mama atakuwa amesikiaHuu Ni uhuni mwingine Hivi MTU wa Ilagala Kigoma na Kagunga Kigoma Huu mtandao haupo Wala network Hamna, Huyu Ridhione aliona Hilo?? Hawa wanaishi mijini wanawaza kimjini mjini.kwanza Ni uwizi mtupu Huo mfumo..Mama kataza Hilo usiwe mpole Mno na Wewe mama.kuwa mkali Basi.
Watu bado hawajapona vizuri chale walizochanjwa hapohapo wanahangaishwa na PEPMIS.mPindimbi masasi 😂😂
Wanafanya kwa malengo mahususi,nchi hii inahitaji mental liberation kwa raia wake,nikupe mfano,leo Mpina Luhaga yupo nje ya system anaongea km mzalendo lkn alipokua waziri alikua akiunga mkono mambo ya ajabu alafu ni km anatafuta political sympathy,kasoma upepo 2025 hatoboi ndani,na akitoboa nje analiwa kichwa, udikteta wa mwendazake ndo ulimpa jimboUsumbufu
Shida ya huu mfumo una assume taasisi zote zina function sawa na watumishi wote wanaush dar. Hii ilikuwa big mistakeCCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo.
Kwa mujibu wa watumishi walio wengi, mtandao huo haupatikani kabisa, na watumishi wanatishiwa kutolipwa mishahara kwa uzembe ambao hawahusiki.
Chama cha Mapinduzi kiwasemee watumishi hawa, mfumo usimame mpaka pale serikali itakapotatua tatizo la mtandao.
Nchimbi, Katibu Mkuu, usikubali chama kilaumiwe kwa jambo ambalo walioliandaa hawakuwa makini. Toa kauli kesho nchi nzima ijae shangwe.
Hiyo mifumo inawanyanyasa sana watumishiWatakwambia Maendeleo hayana Chama. Kiufupi serikali Ina mifumo mingi isiyo na tija na isiyofanya kazi. Naonaga ni miradi ya wajanja wachache kupiga hela za kuanzisha mifumo isiyo na tija.
Watumishi hasa walimu wana ESS ambayo ndani yake una PEPMIS, wana mfumo wa TSCMIS, mifumo yote miwili naona kama ina lengo moja.
Ni Upigaji mtupu.
Huku Mpitimbi ndio tuna miezi 2 haufanyi kazi wala haufunguki.Jana siku ya Alhamis nikiwa Daresalaam, internet full of charge ilinichukua masaa manne hadi kufanikiwa kuufungua.
Ulichosema ni kweli tupu.
Ila nimegundua ukiufungua Jumatatu, Jumanne na Jumatano unafunguka kiurahisi.
Ila sio Alhamis.
Wahusika fanyieni kazi hii changamoto.
Hii ni Daresalama, sijawauliza jamaa zangu wa Mpitimbi.
Jitahidi kuficha uchi wa akili yako mbele za watu. Ebu chukua huu ushauri utakusaidia siku moja. Leo wana JF tumeuona utupu wa kichwa chako kuwa kichwa chako ni cha kuotea nywele tu na umebeba mzigo wa fuvu usio na faida kwako.We utakuwa mwalimu tuu eti toa kauli kesho🤣. Utakuta ela ya bando huna kamshahara kameisha hata June haijaanza😭😭.
Hii nchi tatizo kuubwa kwako unaona ni pepomis sio?
Alhamisi ni siku ya masupervisor kuapprove progress reportsJana siku ya Alhamis nikiwa Daresalaam, internet full of charge ilinichukua masaa manne hadi kufanikiwa kuufungua.
Ulichosema ni kweli tupu.
Ila nimegundua ukiufungua Jumatatu, Jumanne na Jumatano unafunguka kiurahisi.
Ila sio Alhamis.
Wahusika fanyieni kazi hii changamoto.
Hii ni Daresalama, sijawauliza jamaa zangu wa Mpitimbi.
Wengine hawajui kabisa hata kilichowekwa kwenye mfumo. Je, Serikali inadanganywa? Ndivyo ninavyojiuliza.CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo.
Kwa mujibu wa watumishi walio wengi, mtandao huo haupatikani kabisa, na watumishi wanatishiwa kutolipwa mishahara kwa uzembe ambao hawahusiki.
Chama cha Mapinduzi kiwasemee watumishi hawa, mfumo usimame mpaka pale serikali itakapotatua tatizo la mtandao.
Nchimbi, Katibu Mkuu, usikubali chama kilaumiwe kwa jambo ambalo walioliandaa hawakuwa makini. Toa kauli kesho nchi nzima
Alhamisi ni siku ya supervisor kuapproveUfungueni Jumatatu hadi Jumatano
Alhamisi haufunguki kabisa.
Sijui kwakuwa watu wengi wanajaza Alhamisi au sababu ni ipi.
Wamejaziwa ?Wengine hawajui kabisa hata kilichowekwa kwenye mfumo. Je, Serikali inadanganywa? Ndivyo ninavyojiuliza.
Vile vishikwambi haviwezi kutumika ?CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.