Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Usimlaumu, laumu ufisadi wako na wenzio umewaponza.Best president usukumani huko chato lakini kwa tanzania ndio maana hadi sasa maiti yake bado inatupiwa matusi alikuwa mtu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania.
NO ni baada ya kula na kushiba, course hapo kabla walikuwa nje na walisikia mwangwi wa katiba mpya ila walijitia upofu.Huwezi jua umuhimu wa katiba mpya ukiwa madarakani.
Mkapa, Kikwete,Sumaye,Lowasa,Membe walihitaji baada ya kutoka madarakani.
Hakuna mwananchi aliyeshirikishwa. Hii Katiba iliandaliwa na watu wasiozidi watano, wakiongozwa na Pius Msekwa! Katiba ya mwaka 1977 ni hovyo mpaka basi!Exactly, kwanza nina wasiwasi na waliopitiasha hiyo katiba ya 1977, Je walishirikisha wananchi?
The Best President kamwe hawezi kutoka CCM! Na Tanzania haitokuja ipate Rais bomu kama magufuli. Huyu ana unafuu mara 100 kuliko huyo magufuli wako.Tuliwaambia JPM ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
Hujasema anatokea wapi!??? Hapo tu Tate MkuuThe Best President kamwe hawezi kutoka CCM!
Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!Tutambue anapozuia Katiba Mpya ni kwamba anawalinda wale wa chama chake hapo anakuwa mwema kwao, na mbaya kwa wapenda mabadiliko, kumtaka awe mwema kwa wote itakuwa ngumu sana kwake, lazima kuna kundi halitaridhika vinginevyo ajitoe mhanga hasa.
Nadhani ulikuwa hujazaliwa. Ilipitishwa na bunge. Na kwa sababu wabunge ni wawakilishi wa wananchi, tunasema wananchi walishirikishwa.Exactly, kwanza nina wasiwasi na waliopitiasha hiyo katiba ya 1977, Je walishirikisha wananchi?
Ukiwa mjinga wa kutupwa huwezi tambua umuhimu wa katiba inayofaa, ni sawa na kujiita mkristo huku hutaki biblia ama kujiita muslim huku hutaki kitabu kitakatifu. Shame on you.yaani mnahaha na katiba utafikiri inamuhimu sana kama itawaletea hela wacheni uchumi ukue hayo mengine baadae sana
Msemaji wa Mama ni matendo yake.Ameshapiga marufuku mikutano ya kisiasa ambayo siyo tu kwamba ni haki yetu kikatiba bali pia ni universal declaration of human rights.Mama ni inept leader anaetumia udikteta kuficha ujinga pamoja na madhaifu yake.
yaani mnahaha na katiba utafikiri inamuhimu sana kama itawaletea hela wacheni uchumi ukue hayo mengine baadae sana
Nimesoma heading pekee (ila jibu lake ni kwamba anaweza)
Nadhani unahitaji kumsoma Niccolo Machiavelli...
It's better to be feared than loved, if you can't be both......
Sio kwamba naunga mkono Machiavellianism, bali ninakwambia its possible since, Politics have no Relation to Morals...
Hahahaaaaaa, ila leo jitahidi unywe maji mengi sana hicho kichwa kisipasuke.Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!
JPM mlimuita kichaa but that muthafucka was straight.Huwezi kufurahisha kila mtu you are not an ice cream! Changes come with pains ila wadanganyika wanataka changes zije smoothly. Katiba ni muhimu ila mkumbuke pia mabadiliko yake yatasababisha maumivu kwa watu flani and you know what,,,
”The ones to suffer ndio walioshikilia mpini and you guys mko kwenye makali”
Sasa ni nani atakubali ku Jeorpadize kesho yake kwa kukufurahisha wewe? [emoji28][emoji28][emoji28] Think Big!!! High stakes are to the advantaged! Subirieni malaika atakae kuwa raisi wa nchi ndio atakaeleta katiba mpya!
wacheni mama apige kazi, tunataka pesa hayo mengine baadaye. Maisha bila pesa mjini hayaendi
I will mzeeHahahaaaaaa, ila leo jitahidi unywe maji mengi sana.
Muda si mrefu na yeye atakuwa kama mtangulizi wake tu. Kwa mbaali madaraka yameshaanza kumlevya.
Ukiwa Kiongozi, halafu ukashindwa kutambua mahitaji ya wale unao waongoza kwa wakati huo, maana yake umeshakuwa failure tayari
Hahahah watu wanategemea mkutano wa kisiasa ndio wale?Hakuna aliyemzuia kufanya hizo kazi, kama ambavyo wewe unauza mchicha sokoni kupata kitu, kuna wengine maisha yao yanategemea mikutano na shughuli za kisiasa, na ni haki yao.