Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mtanganyika ni nani ?!!!Bitozo mdini, mbona mashee wa uamsho aliwaachia huru?
Tatizo kuongozwa na mtu ambaye siyo mtanganyika litatutesa Sana
Mbona wao waliificha taarifa ya msiba wa magufuli mpaka akawa anakaribia kuoza ndio wanatupa taarifa za msiba nani kavunjiwa heshima taifa au wao kuficha msiba?
Kwa hiyo Mbowe yupo ndani kwa sababu kakosa "HESHIMA"?Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya Leo
Hakuna cha ugomvi zaidi shida ni msimamo wa dai la katiba mpya
Hili ndilo rasmi iliyosababisha Mbowe akamatwe.Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mwanamke sio wa kupanga naye dealAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Mkuu Mshana salute mingi sana..Majibu TAYARIAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
... alifafanua vizuri sana Lembrus Mchome.Mchongo ni nini?
ukweli usemwe mama uwezo wake mdogo sana,haitoshi kuwa raisMkuu
Mavichaa hayo..hayawezi jibu hili swali
Uzi mzima yanaongea kama malevi..
Na Mama mwenyewe nimekuja kugundua thinking capacity yake ina walakini pahala
Kumbe ishu ni mtazamo....na si kwamba ni UHALISIA wa madai ya kilichotokea kumhusu ndugu Zitto Kabwe?!!!Mkuu
Siwezi weka hapa....wewe una una mtazamo wako,na mimi nina wangu
Zitto kaandaliwa aongee yale na ampigie mama magoti ili mama amwachie Mbowe ionekane ni "wapinzani wamepiga magoti ndio maana kamuachia"
Na the best actor to use ni traitorous Zitto Kabwe.....the most shifty politician in Tanzania
Nobody else angeweza ku-act vile zaidi ya Zitto
Funny thing is,Chadema haijamtuma yeyote kuomba chochote kwa mama....
Zitto kajipigisha magoti yeye kama yeye and their shit showing shenanigans,akimuachia Mbowe kamuachia and CDM knows what to do!
Mama ni light weight brain wise..na this thing will cost him dearly,tayari it is taking a toll on her!
Plus kuna vita ccm humo,with it group lake linaweza shindwa likauwawa na yeye akaenda na maji
She is bigger trouble....she has to pass through polepole and his group kabla hajamfata Mbowe!
Watch this space....Im sad she will fail everywhere!
Huyu rais hana msimamo. Anayumbayumba tu!Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Lissu yuko sahihi. Maneno kuntu!Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa! https://t.co/AA2MpaPQ5D
View attachment 2044999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo sukuma gang bado ina nguvu?Kundi linawahusu nyie CCM
Halituhusu sisi CDM
Ni lenu,nyie ndio mnatakiwa kujua kama lina nguvu au halina
Muulize Nape ndio analijua vizuri
The issue is,lazim mpigane mpaka moja life ndio mtabaki salama
As we speak,Polepole makes all y'all shit in your pants
Kauaneni huko,mkimalizana ndio mtutafute
Sijajua unawezaje kumdignose mtu online ujue amepaniki?
Na mtu akipaniki wewe anakuhusu nini kwa mfano?Ni yeye
Wewe nae kiazi tuTatizo wewe hata Kiswahili hujui.
Aliposema kufuata sheria, maana yake ufuate sheria unapofanya mambo yako.
Kwa uelewa wako mdogo, unamaanisha Rais alikusudia kumwambia Mbowe afuate sheria anapotaka kufanya ugaidi?
Ni dhahiri, anamaanisha kuwa Mbowe kuna kitu akifanya, na kwa mawazo yake, hakufuata shwria wala hakumtii. Ndiyo maana tunataka kujua jambo gani alilolifanya Mbowe bila kufuata sheria, na kipi ambacho yeye Samia anaona Mbowe hakumtii.
Ukweli wa hisia zenu huo....ukweli usemwe mama uwezo wake mdogo sana,haitoshi kuwa rais