Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Bitozo mdini, mbona mashee wa uamsho aliwaachia huru?

Tatizo kuongozwa na mtu ambaye siyo mtanganyika litatutesa Sana

Mbona wao waliificha taarifa ya msiba wa magufuli mpaka akawa anakaribia kuoza ndio wanatupa taarifa za msiba nani kavunjiwa heshima taifa au wao kuficha msiba?
Mtanganyika ni nani ?!!!

Mzee Mwinyi naye ni mtanganyika?!!!

Utanganyika ni nini?!!!

Utaficha lini ujinga wako mbele ya HADHIRA hai?!!!!
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kwa hiyo Mbowe yupo ndani kwa sababu kakosa "HESHIMA"?

Kamkosea heshima, hiyo ndiyo ikasababisha amuweke ndani? Kama siyo udikteta huo ni kitu gani!

Haya yote yana mwisho wake.
 
Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya Leo

Hakuna cha ugomvi zaidi shida ni msimamo wa dai la katiba mpya
 
Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa! https://t.co/AA2MpaPQ5D
IMG_20211215_140814.jpg
 
Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Hili ndilo rasmi iliyosababisha Mbowe akamatwe.
Ila awe na heshima! Ulaya viongozi hawawezi kuwatamkia walio chini yao kwani watu wote wanatakiwa kuiheshimu sheria.
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Mwanamke sio wa kupanga naye deal
Atasahau tu na kuharibu
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Mkuu Mshana salute mingi sana..Majibu TAYARI
 
Hivi wajua magufuli alikuwa na infiriority complex za kisukuma?ndizo alizo anzo Samia aise anamuhukumu Mbowe kisa heshima.
 
Mkuu

Siwezi weka hapa....wewe una una mtazamo wako,na mimi nina wangu

Zitto kaandaliwa aongee yale na ampigie mama magoti ili mama amwachie Mbowe ionekane ni "wapinzani wamepiga magoti ndio maana kamuachia"

Na the best actor to use ni traitorous Zitto Kabwe.....the most shifty politician in Tanzania

Nobody else angeweza ku-act vile zaidi ya Zitto

Funny thing is,Chadema haijamtuma yeyote kuomba chochote kwa mama....

Zitto kajipigisha magoti yeye kama yeye and their shit showing shenanigans,akimuachia Mbowe kamuachia and CDM knows what to do!

Mama ni light weight brain wise..na this thing will cost him dearly,tayari it is taking a toll on her!

Plus kuna vita ccm humo,with it group lake linaweza shindwa likauwawa na yeye akaenda na maji

She is bigger trouble....she has to pass through polepole and his group kabla hajamfata Mbowe!

Watch this space....Im sad she will fail everywhere!
Kumbe ishu ni mtazamo....na si kwamba ni UHALISIA wa madai ya kilichotokea kumhusu ndugu Zitto Kabwe?!!!

Ok mkuu nauheshimu mtazamo wako....baki na mtazamo wako mkuu....

Mh.SSH yupo.....

I promise you hakuna KUNDI hasi litakalomhenyesha ndani ya CCM.....muda utaongea.......

#Siempre JMT
 
Kundi linawahusu nyie CCM

Halituhusu sisi CDM

Ni lenu,nyie ndio mnatakiwa kujua kama lina nguvu au halina

Muulize Nape ndio analijua vizuri

The issue is,lazim mpigane mpaka moja life ndio mtabaki salama

As we speak,Polepole makes all y'all shit in your pants

Kauaneni huko,mkimalizana ndio mtutafute

Sijajua unawezaje kumdignose mtu online ujue amepaniki?

Na mtu akipaniki wewe anakuhusu nini kwa mfano?Ni yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo sukuma gang bado ina nguvu?

Si mlisema ni washamba na wamekomeshwa?
 
Tatizo wewe hata Kiswahili hujui.

Aliposema kufuata sheria, maana yake ufuate sheria unapofanya mambo yako.

Kwa uelewa wako mdogo, unamaanisha Rais alikusudia kumwambia Mbowe afuate sheria anapotaka kufanya ugaidi?

Ni dhahiri, anamaanisha kuwa Mbowe kuna kitu akifanya, na kwa mawazo yake, hakufuata shwria wala hakumtii. Ndiyo maana tunataka kujua jambo gani alilolifanya Mbowe bila kufuata sheria, na kipi ambacho yeye Samia anaona Mbowe hakumtii.
Wewe nae kiazi tu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom