Ukiwa na akili ndogo Ni vigumu Sana kumuelewa lissu. Anajua madhara ya kuomba eti huruma ya rais kumtoa mbowe wakati mbowe Hana Hilo kosa. Lkn usipomuelewa lissu utabaki kumuona Ni mkorofi, Kumbe mwenzio anaona mbele zaidi.Lissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Mh Mbowe ni mtuhumiwa tu, hajapatikana na hatia bado, Mh Rais kuendelea kuliongea ni sawa na kuifunga mahakama mikono katika kutenda HakiView attachment 2045248
Habari ndio hiyo
Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.Lissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Kwani asipoachiwa ndio inakua Nini?Yule mbabe wa chatoh Yuko wapi?Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.
Lissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
si vizuri kuiiita koleo kijiko kikubwaLissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Kama ni hivyo asingekimbia baada ya uchaguzi kwa kusindikizwa na mabalozi mpaka airport,angesubiri ili ashinde kimahakama kesi yake ya mchongoKasema ukweli sana lakn
Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.
Siku yake ukiwa ngome ndio utajua kama ukiwa mle unahitaji namna yoyote ile utoke,lisu yuko ulaya wewe uko sebuleni kwako huwezi elewa mbowe aliyeko ngome jinsi anavyotaka hata arudi kwenye maisha yake ya kawaida,mko nyuma ya keyboard unaongea tu kufurahisha watu hapa,jela kusikie hivyo hivyoUkiwa na akili ndogo Ni vigumu Sana kumuelewa lissu. Anajua madhara ya kuomba eti huruma ya rais kumtoa mbowe wakati mbowe Hana Hilo kosa. Lkn usipomuelewa lissu utabaki kumuona Ni mkorofi, Kumbe mwenzio anaona mbele zaidi.
Mbona hukusema hayo kwa jiwe wewe mataga?
Bi tozo katumwa kazi gani na watanzania?Kwenye uongozi wa Nchi kama Mungu hajapenda huwezi kupata. Acha kumuonea wivu ndiyo Rais wako upende usipende. Akina Lowassa wameutafuta uRais kuanzia mwaka 1995 na wakaenda ndani ya CCM na UPINZANI hawakupata. Hata kama humkubali wewe hayuko hapa kufurahisha nafsi ya Wyatt Mathewson bali kutimiza kazi akiyotumwa na Watanzania.
Yeye Samia siye aliyemtengenezea mashtaka bali hayo ni mashtaka ya kati ya April- November 2020.
Mwishowe mshaurini Mbowe awe na hekima aache kukurupuka. Mkumbusheni tu kuwa anaweza kuiburuza BAWACHA na BAVITA ambazo yeye ni sultani, lakini siyo Watanzania wengine.
Kauli kama hii ya kwako ni za kidwanzi sana! Hivi unafikiri Mbowe mwenyewe hakuyajua haya? Alipokataa kuunga juhudi licha ya misukosuko aliyopewa, angekuwa na akili za kwako si angekuwa ameishawasaliti wananchi? Mbowe anapajua jela wala hababaiki...hata yeye hataki aachiwe kwa michongo!Siku yake ukiwa ngome ndio utajua kama ukiwa mle unahitaji namna yoyote ile utoke,lisu yuko ulaya wewe uko sebuleni kwako huwezi elewa mbowe aliyeko ngome jinsi anavyotaka hata arudi kwenye maisha yake ya kawaida,mko nyuma ya keyboard unaongea tu kufurahisha watu hapa,jela kusikie hivyo hivyo
Asante MshanaKuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Kauli kama hii ya kwako ni za kidwanzi sana! Hivi unafikiri Mbowe mwenyewe hakuyajua haya? Alipokataa kuunga juhudi licha ya misukosuko aliyopewa, angekuwa na akili za kwako si angekuwa ameishawasaliti wananchi? Mbowe anapajua jela wala hababaiki...hata yeye hataki aachiwe kwa michongo!
Na Uncle mingingo wa mvomeroπππππππMnaichukua mnaipeleka wapi? Wewe na nani?
Dog is yourself kammmmonnnThis country will never be ruled by dogs. Forget about that