Kugawana ni sawa, je pande zote za muungano zilichangia sawa kwa sawa hadi zigawanishwe nusu kwa nusu?Salaam
Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip Isdor Mpango, amesmea kuwa, Rais Samia kaagiza fedha zilizotengwa kugharamia Sherehe za Muungano, amezibadilishia matumizi na kuagiza zigawanywe sawa kwa bara na Visiwani.
Pia kasema kila upande utajiamulia matumizi ya fedha hizo.
Sikatai hili, Lakini kwa huu ubaguzi mnaouanzisha mwisho mtasema mapato yanayopatikana Dar yasigawiwe kwa mikoa mingine, wakati serikali kwenye kukusanya inakusanya na kwenye kugawa inagawa kulingana na stahiki bila kuangalia ni mkoa gani umetoa mapato mengi.Mil1 haiwez kuwa sawa na mil 60?
Unaelewa nini kuhusu mgawanyo wa mapato ya muungano? Na je unajuaje kuwa hiyo ambayo haivuki bahari kuwa ndio kiasi kinachotakiwa kwa ajili ya watumishi wa serikali ya Muungano waliopo Zanzibar?Hela yote inayokusanywa na TRA Zanzibar uwa haivuki bahari wakati ile inayokusanywa na TRA Bara inavuka bahari. Huu muungano una mambo ambayo tukiyachokonoa, nadhani tunaweza kuona umauti wa muungano huu.
Kwa mfano wewe hapo mkaungana na rafiki yako kwenye biashara,lkn bahati mbaya au nzuri yeye familia yake ikawa na watu wengi zaidi wakati wewe familia yako ni ndogo,kwenye mgawo wa faida ya biashara yenu utasema we upewe mgawo kidogo kwa vile familia yako ni ndogo? Au utasema mgawane sawa kwa sawa?Siyo sawa kugawa sawa, Zanzibar ni ndogo sana inabidi ipate kutokana na ukubwa wake.
Kwa mfano wewe hapo mkaungana na rafiki yako kwenye biashara,lkn bahati mbaya au nzuri yeye familia yake ikawa na watu wengi zaidi wakati wewe familia yako ni ndogo,kwenye mgawo wa faida ya biashara yenu utasema we upewe mgawo kidogo kwa vile familia yako ni ndogo? Au utasema mgawane sawa kwa sawa?Mil1 haiwez kuwa sawa na mil 60?
Una mfano wa kipumbavu sanaKwa mfano wewe hapo mkaungana na rafiki yako kwenye biashara,lkn bahati mbaya au nzuri yeye familia yake ikawa na watu wengi zaidi wakati wewe familia yako ni ndogo,kwenye mgawo wa faida ya biashara yenu utasema we upewe mgawo kidogo kwa vile familia yako ni ndogo? Au utasema mgawane sawa kwa sawa?
Busara ganiMadam president kaamua kwa busara.
Maana kuna jamaa hapa wengipiga mpunga mrefu.
Wengi wanajiuliza hivyoVisiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Hizo pesa ni jasho la watanganyika - mapato yanayokusanywa tanzania baraKwani izo pesa za sherehe wanatoa wa upande upi? Zanzibar pia huchangia gharama za sherehe?
Labda nikuulize Zanzibar kachangia niniSafi sana.
Haiwezekani hela za sherehe za Muungano kila siku ziishie kujenga bara tu wakati nchi hii ni muungano wa nchi mbili
Kwani Bara hakuna Wazanzibari walipa kodi?Labda nikuulize Zanzibar kachangia nini
Ila kama Serikali haina mpango wa kuadhimisha Sherehe za Muungano, kwanini wanatenga bajeti yake kila mwaka?
Kwanini fedha hizo in a first place zisipangiwe shughuli za maendeleo badala ya kuja kuzibadilishia gia angani ilhali kuna vifungu vingi tu vya muhimu vinakosa bajeti katika wakati wa kupanga.
Nchi 2 huru ziliungana, hiyo theory yenu haileti mantik yoyote kama muliungana kwa bahati mbaya na nchi ndogo vunjeni muungano, hatamu za muungano zote ziko Tanganyika, Wazanzibar wataenda kuungana ata na Comoro ikibidi au watajitegemea
Hilo halina shaka. Lakini ingekuwa vizuri kama ingewekwa wazi Zanzibar wanachangia kiasi gani kwenye bajeti ya Muungano? Kiasi gani cha kodi kinatoka Zanzibar n.k.
Amandla...
Kuna mambo mengi sana vizazi vyetu vitakuja kuhoji hapo baadae.
Watu milioni 2 na watu milioni 55 uwape sawa mgao
Anaedhani mama SSH ataleta maendeleo bara anajidanga. Mama yupo kuipambania Zanzibar
Mgao wa fedha kwa ajili ya Zanzibar tunajua zitaenda wapi... Je, mgawo wa fedha za Tanganyika zitaendelea kuingizwa kwenye accounts za ccm??