Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Visiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Inahusika vizuri sana tu.TRA haihusiki kabisa kule Zanzibar.
Zanzibar wanna taasisi yao ya kukusanya mapato
Inahusika vizuri sana tu.
Wanakusanya kodi zanzibar kama part of Tanzania.
Na hio taasisi ya zanzibar (ZRB) nayo pia inakusanya kodi kwa mapato ya zanzibar.
Kwenye suala la kodi tunapigwa huku na huku.
Si ndio tutajua kwa uhakika kiasi gani mnatudai? Lazima zitakuwa nyingi maana machogo wamekuwa na mtindo wa kuwasame madeni. Ziwekwe wazi tu.Zanzibar inaidai Tanganyika hela zake nyingi sana
Hao wanahesabiwa kama machogo maana pesa yote wanachuma bara.Hujui kuwa Wapemba wengi wako Dar na ni walipa kodi wakubwa?
Kwa sababu Karume alimlazimisha Nyerere wafanye Muungano kwa haraka sana.Kwa nini Watanganyika hawakusaidia kuunda jeshi la Zanzibar halafu waondoke wawaachie nchi yao?
Kwa sababu Karume alimlazimisha Nyerere wafanye Muungano kwa haraka sana.
Nyerere alitaka mjadala mpana, Karume kwa style yake ya kufanya mambo kwa haraka haraka akasema ya nini kijadili mambo sana, nawaita waandishi wa habari sasa hivi tutangaze Muungano hapahapa.
Karume aliogopa Zanzibar haitakuwa stable kama hatapata msaada wa Nyerere kutoka bara, kwani haikuwa na jeshi.
Wanachangia nn kwenye muungano, ? Si sawa tu na Tanzania kuungana na USA halafu hutegemee tugawane sawa,Ilianza bagamoyo ikaja chato mbona now mnawivu na wa zanzibar
Karume kampindua Shamte kibaraka wa Waingereza halafu na yeye kawa kibaraka wa Waingereza?Huo muunganiko unashikiliwa na uingereza.
Nyuma ya karume kulikuwa na malkia wa uingereza.na hata ushauri wa muunganiko ulitokea uingereza.
Na sababu ya yote hayo ili Zanzibar isije Rudi kwenye mikono ya waarabu.
Mpuuzi mwenzenu Jiwe( R.I.H) alivyofanya upuuzi kama huu kwa mara ya kwanza mkamshangilia. Cha ajabu next year akiwa yeye ndiye Rais akapitisha tena bajeti kwaajili ya sherehe kama ileile nanyi mkamshangilia tena.Wacha upuuzi, hujui hii ni awamu ya sita?
Karume kampindua Shamte kibaraka wa Waingereza halafu na yeye kawa kibaraka wa Waingereza?
Nimekuwa nikifuatilia, naona Kuna mgawanyo nusu kwa nusu, meli 8, Tanganyika 4 na Zanzibar 4,Hela za sherehe za muungano zitagawanywa Tanganyika nusu na nusu nyingine Zanzibar.Kwa mantiki hiyo hata misaada serikali ya Tanzania itagawanywa nusu kwa nusu. Hadi miaka 10 ya kipindi chake Zanzibar itakuwa kama Dubai.