Nadhani bajeti ya sherehe za muungano hupangwa na waziri ofisi ya makamu wa Rais muungano.na vyanzo vya fedha vinatoka pande zote mbili za muungano.Kwanza bajet ya sherehe za muungano znz walihusika....kama walihusika wachukue chao kama sio basi anawapendelea tuu
Mama hakusema wazigawe 50% kwa 50% amesema wazigawe kwa usawa , sasa Dr. Mpango anajuwa usawa ni upiSiyo sawa kugawa sawa, Zanzibar ni ndogo sana inabidi ipate kutokana na ukubwa wake.
Haki YaoAwamu hii Zanzibar inakumbukwa saaaaana kwny mgao.
Mtu kwaoooooooooo.
Okay well saidMama hakusema wazigawe 50% kwa 50% amesema wazigawe kwa usawa , sasa Dr. Mpango anajuwa usawa ni upi
Kaka nakushukuru kwa kulitambua hili. Lkn ninachoweza kusema kutokea moyoni in kwamba, Mfumo wa muungano haujawa rafiki kwa sasa kwa kuwa, kama kuna nia ya dhati kabisa ya kuungana kati ya BARA NA ZANZIBAR Nini kinachokwamisha kuwa na muungano wa nchi moja? Watawala wakubali tuwe na Taiga moja kuanzia MWANZA hadi WETE, MAKUNDUCHI - UZINI hadi RUVUMA, SONGWE,MJIMKONGWE HADI BUKOBA NA KIGOMA. Rais awe mmoja tu itakuwa poa sana.Punguza hasira boss, Zanzibar ni miongoni mwa nchi zinazounda muungano
Punguza hasira boss, Zanzibar ni miongoni mwa nchi zinazounda muungano
Bajeti ilikuwa Tsh ngapi?Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!
Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!
Source: TBC
Yes, Kama chato, Tena afadhali ya Zanzibar maana ndio inakamilisha maana halisi ya jamuhuri ya muungano wa tz, kwaiyo lazima ipate mgawo aswaa wa fedha,Awamu hii Zanzibar inakumbukwa saaaaana kwny mgao.
Mtu kwaoooooooooo.
Sherehe kuifuta haitakua vyema kwakua ina wakilisha umoja na kuanza kwa kuitoa ni ishara ya mgawanyiko hivyo. Bajeti inatakiwa iwe well stated and pre-planned kwa vitu vingine. Waseme bajeti ya muungano itatumika kadha kadha kabla ya siku ya tukio apo kweli.Huu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda
Dr. Mpango si makamu mteule, ni makamu wa raisi, maana ameshaapishwa tayariSalaam
Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Philip Isdor Mpango, amesmea kuwa, Rais Samia kaagiza fedha zilizotengwa kugharamia Sherehe za Muungano, amezibadilishia matumizi na kuagiza zigawanywe sawa kwa bara na Visiwani.
Pia kasema kila upande utajiamulia matumizi ya fedha hizo.
Nadhani jiwe lengo lake ilikuwa tu ni kutaka sifaHuu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda
Hilo halina shaka. Lakini ingekuwa vizuri kama ingewekwa wazi Zanzibar wanachangia kiasi gani kwenye bajeti ya Muungano? Kiasi gani cha kodi kinatoka Zanzibar n.k.Punguza hasira boss, Zanzibar ni miongoni mwa nchi zinazounda muungano
Zamu yenu mkuuAwamu hii Zanzibar inakumbukwa saaaaana kwny mgao.
Mtu kwaoooooooooo.
Chato twafa sasaWacha nao wafaudu matunda ya uhuru aisee! Tena mama afanye haraka kuangalia li mradi likubwa kabisa alipeleke Zanzibar!
Ili tusilaumu kuhusu hili, tuwatoe kwenye muungano tuepuke ukakasi wa namna hiiVisiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Kuna mambo mengi sana vizazi vyetu vitakuja kuhoji hapo baadae.Kwani izo pesa za sherehe wanatoa wa upande upi? Zanzibar pia huchangia gharama za sherehe?