young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
Tafadhali rejea jedwalu la kwanza la katiba ya jamuhuri ya muungano wa tz item namba 10,Msingi wa kugawana nusu kwa nusu ni kama hiyo pesa mmeipambania wote.
Now kodi siyo swala la muungano.
Hivyo hii pesa kama imetoka Znz pekee au Bara pekee ni pesa ya aliyeitoa kwakua kaitafuta chini ya kipengele ambacho hakipo chini ya muungano.
Hivyo kushare ni sawa na kusema kuna upande umnyonye mwingine.
Income tax
Custom duty na
Exercise duty
Ni jambo la muungano isipokuwa VAT