Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

"POVU RUKSA. MJUMBE HAUAWI". Asente sana mkuu kwa uwasilishaji mzuri wa kile ulichotumwa na walio kutuma. Kuna kazi kubwa na ngumu sana kuwaongoza watu wasiokutaka.
tumwa na mtu, niko humu tangu mwaka 2008 na bado ninaendelea kuwemo.. nayasoma wote maoni ya wote humu, naungalia mustaktabali wa nchi yetu na kutoa maoni yangu ya nini kifanyike ile tusonge
 
Wakati tunaendelea kujielimisha nk .. Mleta mada naomba kuuliza kitu. Wakati wafuatao wanatafuta kugombea nafasi au awamu yao ya pili walishindanishwa na akina nani?
Hayati ALI HASSAN MWINYI
Hayati Ben Mkapa
Hayati John Magufuli
Mwisho tunajua nini shida ya haya yote.. Dini yake na kua ni mtanzania asili ya Zanzibar na hamna zaidi ya ilo.
 
Kumbe Mabeyo ni malaika mwenzangu!?
 
tumwa na mtu, niko humu tangu mwaka 2008 na bado ninaendelea kuwemo.. nayasoma wote maoni ya wote humu, naungalia mustaktabali wa nchi yetu na kutoa maoni yangu ya nini kifanyike ile tusonge
Amani kwako mkuu. Bila shaka atatafakari na kuchukua hatua. Kwani ndilo tamanio la watanzania.
 
Tatizo ni chura kiziwi!
 
Nikishaona mleta mada wa 2008 nakurudi nyuma na posts jukwaani hazifiki "buku tatu" ninakuwa makini kumsikiliza !
Ukijaribu kulirefusha jina la mtoa mada linaongea mengi.

Maananmoja wapo imaweza kuwa samia president till 2025 march. Kumbe ilibidi wakati anatangaza swala la filipo mpango kuachia kiti ilibidi na yeye aage.

Zipo mana nyingine kwenye jina ambazo na wewe unaweza kuamua kutengeneza
 
Simpendi Samia lakini ni bora yeye aendelee kuliko lile kundi la akina Bashiru, Polepole, Ndugai, na Kabudi...kundi lilijaa arrogance, ubabe,udikteta ambao haujawahi kushuhudiwa, na kuona marais wote waliotangulia nchi hii sio lolote sio chochote, tena akimaliza amuachie Nchimbi

Vuruga wafanyabishara na kutukana kila nchi iliyojaribu kusema Tanzania imepoteza sifa yake ya zamani
 
Mungu alimruhusu Mama Samia kuwa Rais kwa kusudi moja tu la kutuletea Katiba mpya. Angetekeleza hilo angeheshimika damage na kuwa Mama wa Taifa. Lakini naona tamaa ya madaraka inamponza na sasa kwakuwa Mungu hajaruhusu kuendeea, atapata wakati mgumu sana huko mbeleni. Kwa hiyo ni bora tu ahairishe uchaguzi na aanze mchakato wa Katiba mpya. Aendelee kuobgoza kwa miaka miwili hadi tupate Katiba mpya na asimamie uchaguzi huru na haki kisha amkabidhi Rais mpya nchi chini ya Katiba mpta naye astaafu kwa heshima.
 
Mtu aliyewahi kujitapa kuwa chura kiziwi atakuwa ameachana lini na ulemavu wa kutosikia hadi aupate huu mjumbe? 😲

Mtu kujipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais bila kushindanishwa, huku akiwataka wengine wachujwe kwa umakini wa hali ya juu, ataelewa ujumbe huu hata kama atasimuliwa na Mchengerwa? 🤔
 
Too late huu ushauri ulipaswa ushauri kabla kikwete hajampitisha kimababvu huko Lumumba
 
Inashangaza sana, Samia anavunja katiba ya CCM kwa kujiteua mwenyewe na Nchimbi wake huku wanaCCM wanaangalia kama kwamba hakuna wanaume wenye uwezo wa kuongoza nchi .... 😲
 
Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
Ni bora apumzike na kuwa Mstahafu, maana huko tunakokwenda unaweza kusikia mabalozi 20 wamejiuzulu, mara viongozi waandamizi 20 wamejiuzulu,atabaki peke yake bora awahi..kundi alimwambii kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…