Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

Ni bora apumzike na kuwa Mstahafu, maana huko tunakokwenda unaweza kusikia mabalozi 20 wamejiuzulu, mara viongozi waandamizi 20 wamejiuzulu,atabaki peke yake bora awahi..kundi alimwambii kweli
Akina Nani 20 wajiuzulu? Akina Nani wanajali? Unaota wewe
 
Kuna waliodhani kikwete kuondoka ba Magufuli kuingia ndio mwisho wa matatizo..Magufuli alivyokufa wakadhani ndio mwisho wa matatizo, sasa Samia
Huu usenge ndio umefanya Kenya yamebadilika majina ya vyama vya siasa, lakini magenge ya wanasiasa wahuni wanaotawala ni wale wale.

Wanasiasa wale wale waliokuwa KANU ndio hao hao wako kwenye mavyama mengine wanaendeleza gurudumu.

ILA,

Matatizo ni yale yale.
 
Unashauri nn kifanyike mkuu
 
Ulivyoandika tu "kwanini huachii madaraka" nimeacha kusoma kumbe ni mwehu ametoroka kutokea Mirembe. We mwehu rudi katibiwe ukipona uje uandike tena.
 
Hu Huu ni uchafu uliooza, we ni Polepole au? Maana si kwa upupu huu! Bwanamdogo madaraka hayatafutwi kitoto hivyo, kwanza unahitaji kibali cha mwenyenzi Mungu hasa kwa madaraka makubwa km ya Rais wa nchi. Kafanye kazi nyingine we siasa huijui na huiwezi. Samia ni chaguo la watanzania acha na OKTOBA TUNATIKI SAMIA we huu upoyoyo wako mpelekee mamako
 
Unashauri nn kifanyike mkuu
Kushinikiza wanasiasa ******* kuwajibika.

Kama tumeshindwa kuwafanya kitu.

Hata kununa na kuwasusia ni hatua.

Lazima wananchi tuwe na agenda ya nini tunataka.

Bila hivyo, wataleta chochote.
 
Mkuu issue sio Samia,shinikizo ni Abduli na Mchengerwa watakula wapi na ndio wenye nchi saiv
We mbwa koko nani alimzuia mamako kusoma? Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, hiyo familia imeshabarikiwa ht ujinyee hutabadili chochote. Husda zingine ni aibu.
 
Bila ht aibu waachie Polepole na kundi lake, kundi la mbweha siyo? Kamwe hatutawaachia nchi yetu nyie mambwa koko. Mtaandika mpk mjinyee hadharani, mtaokoteza kila uchafu Samia ni wetu watanzania mpk 2030 atufanyie makubwa zaidi. Kinachowatoa roho ni mafanikio makubwa aliyoyafanya Rais Samia, mmetokwa na mate mje myatafune matunda aliyoyazalisha. Kamwe haitatokea!
 
Hu Huu uchafu mrushie mamako we bwege
 
We
mara nyingi maraisi wastaafu huwa hawasumbuliwi... ona kwa Trump na Biden wake- sasa Trump kakaa kimya... Hata Tanzania itakuwa vivyo hivyo. Kautaratibu hako kataendelea
We mbwa kaazime ht akili kdg km hamnazo kiasi hicho.
 
Huu uzi ni uzi bora kabisa kwa ushauri kwa mheshimiwa Rais.
Matamanio yangu ungemfikia moja kwa moja ikiwezekana auprint ausome kimya kimya na tafakari yakina achukue ushauri wake na kuuzingatia.
 
Ushauri mzuri sana kama ungeweza kuufikisha kwake, SSH. Sina uhakika kama anaweza kuusoma hapa. Mtumie kwa mawasiliano yake rasmi na binafsi.
 
Nilifikiri utasema unaomba akubali kufanya reforms kwenye Katiba 😳 !
Kumbe wewe Mkuu unataka Mheshimiwa aachie ngazi ???!! 🀣🀣

Hiyo ni ndoto Bandugu !
Wanaachiaga kama Afya imezorota sana kama Biden Afya ya Akili ilitetereka ikawa hakuna namna nyingine !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…