KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Ndugu Mjumbe, tukiwajua hao waliokutuma tutaweza kuchangia vizuri huu uzi wako. Yaelekea wamekupa huu ujumbe ili utuletee, nini maoni yako wewe kuhusu haya waliyokueleza?Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya β wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
KWani akiacha kuna hasara? Baiskeli ziko kwa wananchiWazo lako ni zuri ila tayari nguvu kubwa na pesa nyingi zimekwisha tumika kukamilisha safari, hivyo haitawezekana kwani hizo pikipiki na baisikeli zimegharimu kiasi kikubwa.
Hii inaitwa kunya awe kuku,, akiwa bata ni uharo..... hizi mambo walizifurahi wakati wao ila sasa wameona madhara kwa kuwa wako nje ya UwanjaWakati tunaendelea kujielimisha nk .. Mleta mada naomba kuuliza kitu. Wakati wafuatao wanatafuta kugombea nafasi au awamu yao ya pili walishindanishwa na akina nani?
Hayati ALI HASSAN MWINYI
Hayati Ben Mkapa
Hayati John Magufuli
Mwisho tunajua nini shida ya haya yote.. Dini yake na kua ni mtanzania asili ya Zanzibar na hamna zaidi ya ilo.
Ni mada nyeesi, isiyoongeza uzito wowote katika mstakabali wa taifa hili.Mwisho:
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Mpango wa Samia kukaa pembeni kwa hiari yake; muda huo umekwishapita. Kilicho baki mbele yetu ni mapambano tu. Atakaye toka salama, huyo ndiye.Mkongwe S.M.P2503 heshima yako.
Ushauri wako ni mzuri sana ingawa utekelezaji wake ni mgumu kutokana na mapungufu ya mikataba mingi inayohusiana na rasilimali za Tanganyika kama bandari n.k.
Nafikiri hata yeye binafsi anatamani ndani ya moyo wake astaafu kwa heshima kuliko kufedheheshwa.
Sijui kama ni wewe umeandika haya! Na ni sababu zipi zilizokufanya uyaandike hivi.Anachonikera Samia ni kitu kimoja tu, kulipa nguvu na ushawishi mkubwa kundi la JK, huko kuna watu hatari sana kibiashara ambao wanazo hulka za Ngamia kwamba akiruhusiwa kuingiza shingo hemani lazima mwili mzima uingie.
Katika miaka minne ya SSH wafanya biashara wamekuwa na nguvu sana na tayari wameshajiona wana uhalali kwa sababu ya michango yao ya nyuma ya pazia ndani ya CCM.
Pole Pole akiwa mtoto wa hayati JPM kifikra kwanza kabisa mtihani wake mgumu ni hao watu dhalimu wanaotembea nyuma ya pazia wakiongozwa na JK.
Kwa bahati mbaya ni kwamba mkwere haamini katika falsafa za kijamaa lakini kakuzwa kisiasa na anazungukwa na wajamaa wengi.
Hayo mengine hayakuwa mada yangu mkuu, wewe andika yako watu washuke... mawazo yang ni kuhusu yeye Kizimkazi kuachia ngazi - peridNi mada nyeesi, isiyoongeza uzito wowote katika mstakabali wa taifa hili.
Mada inazungumzia habari za Magufuli na kundi linalolinda 'legasy' ya huko; lakini haifafanui chochote hawa watu wanao uzito gani ndani ya CCM (Kasha).
Mada haijihusishi kabisa na jinsi gani Samia mwenyewe alivyo jizatiti, kuambana na hilo kundi la Magufuli. Haielezi chochote kinachoma Samia msukumo na nguvu za kutaka kubaki madarakani kwa nguvu yoyote iwezekanayo; si kuambana tu na hao wa Magufuli, balli na waTanzania wanaodai HAKI yao ya kuwachagua viongozi wao.
Mada haijui chochote kuhusu CCM kuwa ni kasha tupu linalotumiwa na GENGE linalofanya kazi na Samia. Nafasi ya Kikwete katika mapambano haya mada haiitambui kabisa.
Kama kuna mtikisiko wowote utakaomtikisa Samia na GENGE lake, ni huo utakaofanywa na umma wa waTanzania kukataa hujuma juu ya nchi yao.
Ni mawazo yangu maana nimepima upepo kitambo sana humu tangu mwaka 2008, sijui wewe ulijiunga lini ndugu yangu? umepima upepo? tunakoelea Panya road watatamalaki...Ndugu Mjumbe, tukiwajua hao waliokutuma tutaweza kuchangia vizuri huu uzi wako. Yaelekea wamekupa huu ujumbe ili utuletee, nini maoni yako wewe kuhusu haya waliyokueleza?
Kwasababu wananchi hatuna nguvu hata kuchagua mwenyekiti wa kitongoji.hizo kura tayari zimeisha dokolewa hata kabla hazijapigwa... sasa kama ndio hivyo, wanao sema NRNR na october tunatiki, wapi wako sahihi?
Umemshauri kwa busara sana lakini tatizo yeye anajiita chura kiziwi na madaraka tayari yamekwisha mlevya ni ngumu sana kuacha kunywa damu za watu ukishaanza.Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya β wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Kama akipita awamu ya pili unadhani atakuwa na cha kupoteza?. Hiyo hofu ya kuongoza wasiomtaka unadhani atakuwa nayo?Kwa hakika, kama asipoachia, aking'ang'ania, na kwa kuzingatia damu za watu alizozimwaga, dhuluma mbalimbali alizozifanya dhidi ya watanganyika kwa kupora rasilimali zao na kuwagawia waarabu, lazima ataongoza kwa shida sana, na ili aendelee kuwaongoza watu wasiomtaka, atalazimika kufanya uovu mwingi na mbaya zaidi dhidi yao, hali itakayomfanya azidi kuchukiwa zaidi na zaidi.
Ushauri mzuri sana. Aliyetoa ushauri wa kusiginwa katiba ya CCM ili mgombea urais apitishwe bila kufuata mchakato wa uchaguzi wa chama alikoroga sana.Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya β wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Ni ngumu sana Bandugu hiyo kitu π³π€·πΏββοΈ !reform hataki, iliyibaki niu kuachia ngazi kwa hiari bila shuruti
Wataibuka lini ? Maana siku zinayoyoma kwa kasi kweri kweri π π€·πΏββοΈ2025-2030 unaweza kuwa wakati mgumu sana Kwa Rais Samia, Kwasababu Hawa Kina Gwajima na mpina anaoshindwa kujizuia na kuwajibu Kwa anger baada ya Uchaguzi wataibuka wengi sana sana
Watakuwa hawana Cha kupoteza
Dkt Samia anamalizia miaka mitano baada ya hapo anakuja dkt MwinyiRais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya β wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi-
Kwakweli π !Ndugu Mjumbe, tukiwajua hao waliokutuma tutaweza kuchangia vizuri huu uzi wako. Yaelekea wamekupa huu ujumbe ili utuletee, nini maoni yako wewe kuhusu haya waliyokueleza?
Umeongea mengi sana kwa hekima kabisa, ila umesahau kitu kimoja - unaongea na chura!Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.