Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
tume huru kutoka mass.ama inatoka chadema???

ujinga ni kipaji jaman
 
Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Mpumba ni wewe mwenyewe na waliokuzunguka wanaokutegemea akiwemo mkeo/mkeo! Umeona nani analalamika humu? Tatizo lako mabange yamekukaa kichwan unawaza na umekariri jambo moja! MPUMBAVU MWENYEWE
 
Ukiitwa chongo na una macho mawili unakereka nini?
Unapinga kwamba hakuna watanzania wapumbavu?Kama wewe sio mmoja wao unakereka nini?Au una ushahidi kwamba hamna watanzania wapumbavu?
 
Hamna anayepinga wakati tunakuona wewe ni mpumbavu!
 
Back
Top Bottom