Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naona Sirro analiwa timing hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
penye zuri tutasifia na makofi tutapiga. Penye uoza (ambao ndio mwingi) tutapaza sauti akisikia asisikie shauri yake.Sidhani kama Kuna mtu anaweza kupinga hatua hii aliyochukua. lakini hiyo haifanyi watu wasipingine mengine ambayo wanaona hayapo sawa.
We ni mpumbavu kabisa, ungejua CDF ameongezewa muda wa kustaafu Hadi .....halafu muache chuki za kidini kenge nyinyi, Rais kila analofanya mnachukia,kumbe mna chuki binafsi tu mb.wa nyinyiIGP ndio target hapo, next CDF jipange baada ya hapo the Coup and total Islamization of Our land is complete!
Wewe ndiye Mpumbavu. Polisi wameua raia na ushahidi upo wazi. Kamati unaunda ya nn badala ya kuchukua hatua Kwa wauaji??Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Huko Marekani, askari polisi Mweupe alimuua Floyd, raia Mweusi. Jeshi la Polisi walimshika askari mwenzao, wakamweka mahabusu, uchunguzi ukafanywa, mtuhumiwa akafikishwa mahakamani na kupatikana na hatia. Huo ni mfano mmoja tu. Kuwa na tunda lililooza mtini hakumaanishi mti mzima ukatwe kwa sababu tu ya hilo tunda moja. Na siyo sahihi kusema jeshi la polisi ndilo lililomuua huyo raia wa Mtwara. Kilichotokea ni kwamba askari mmoja wa polisi ndiye aliyefanya hayo mauaji. Jeshi zima la polisi lisijumlishwe kwenye mauaji hayo. Aidha, kusema jeshi la polisi haliwezi kujichunguza lenyewe, lazima tutamke chombo mbadala cha kufanya huo uchunguzi." Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe" hii kauli imebeba ujumbe mzito sana, sijui Sirro bado anafanya nini ofisini mpaka leo.
Hapo nampongeza Rais, ni sahihi jeshi haliwezi kujichunguza, ila muhimu na hiyo kamati huru iliyoundwa na serikali iwe huru kweli wanasiasa wasiachwe wakaingilia maamuzi yake.
Nasema hivyo nikitambua mahusiano yaliyoko kati ya jeshi la polisi na wanasiasa wa CCM, inawezekana uhusiano wao hauishii kulindana kwenye chaguzi pekee unakwenda mbali zaidi, hawa wasije kuingilia kazi ya kamati iliyoundwa.
Napendekeza hiyo kamati iundwe na kuongozwa na watu huru wasio na mahusiano na siasa au wanasiasa, sio Waziri Mkuu.
Kwa hiyo Magufuli alipokuwa Rais ilikuwa Dola ya kikristo. Kwa sababu IGP na CDF walikuwepo.IGP ndio target hapo, next CDF jipange baada ya hapo the Coup and total Islamization of Our land is complete!
Siyo kweli kwa kuwa uki- overhaul katiba utendaji wa watendaji utabadilika na baadhi ya watendaji wataondoka katika nafasi zao!
Tunataka Mh.Rais aunde Tume ya kijaji kuchunguza walau uozo na unyama wote uliowahi kutokea kati ya 2015-to date." Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe" hii kauli imebeba ujumbe mzito sana, sijui Sirro bado anafanya nini ofisini mpaka leo.
Hapo nampongeza Rais, ni sahihi jeshi haliwezi kujichunguza, ila muhimu na hiyo kamati huru iliyoundwa na serikali iwe huru kweli wanasiasa wasiachwe wakaingilia maamuzi yake.
Nasema hivyo nikitambua mahusiano yaliyoko kati ya jeshi la polisi na wanasiasa wa CCM, inawezekana uhusiano wao hauishii kulindana kwenye chaguzi pekee unakwenda mbali zaidi, hawa wasije kuingilia kazi ya kamati iliyoundwa.
Napendekeza hiyo kamati iundwe na kuongozwa na watu huru wasio na mahusiano na siasa au wanasiasa, sio Waziri Mkuu.
Muarobaini wa haya matendo ovu ya Polisi ni kuundwa chombo nje ya jeshi la Polisi ambacho kazi yake itakuwa kuoversee utendaji wa jeshi!
Napongeza hatua hiyo ya Rais lakini tuangalie mbali zaidi!Malalamiko ni mengi dhidi ya jeshi la Polisi,Sasa zitaundwa tume ngapi?
Mbona unatutukana waTz ni wapumbavu?!Watanzania ni wapumbavu sana. Juzi hapa mlikuwa mnalalamika kuwa haiwezekani JESHI LIJICHUNGUZE LENYEWE, leo Rais kaamua kuwe na tume huru ya kufanya uchunguzi huo bado mnalalamika. WAPUMBAVU
Ulikuwepo enzi za ZOMBE au ulikuwa Karanga??Tatizo hizo kamati zinatoa taarifa sahihi? Ulisikia sababu za soko la mchikichini kuungua?
Nakumbuka kesi ya Zombe na wale Askari waliouwa wafanyabiashara 3 na taxi driver. Kamat ilithibitisha kwamba waliuawa na polisi ila wakaachiwa na mahakama. Ile kesi ikatiwe rufaa. Hata Hawa polisi wataachiwa tuu hata wakikutwa na hatia na kamati.Kwa hili tupo pamoja, saafi sana mama
Well as long as Polisi wakijua wanafuatiliwa Kwa kila jambo wanalofanya basi Kwa kiasi Fulani itapunguza uharamia wao!Usishangae hicho chombo unachopendekeza kikaundwa na chenyewe ikabidi kiundiwe tume.
Ingekuwa kwa we wenzetu IGP out tena bila kulazimishwa na mtu" Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe" hii kauli imebeba ujumbe mzito sana, sijui Sirro bado anafanya nini ofisini mpaka leo.
Hapo nampongeza Rais, ni sahihi jeshi haliwezi kujichunguza, ila muhimu na hiyo kamati huru iliyoundwa na serikali iwe huru kweli wanasiasa wasiachwe wakaingilia maamuzi yake.
Nasema hivyo nikitambua mahusiano yaliyoko kati ya jeshi la polisi na wanasiasa wa CCM, inawezekana uhusiano wao hauishii kulindana kwenye chaguzi pekee unakwenda mbali zaidi, hawa wasije kuingilia kazi ya kamati iliyoundwa.
Napendekeza hiyo kamati iundwe na kuongozwa na watu huru wasio na mahusiano na siasa au wanasiasa, sio Waziri Mkuu.
Well as long as Polisi wakijua wanafuatiliwa Kwa kila jambo wanalofanya basi Kwa kiasi Fulani itapunguza uharamia wao!