CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Una uhakika waliohusika ni wale tu?? Nikikwambia walichukua Karibu Mil 800 utaamini?? Unajua kuwa walianza kumfatilia huyo dogo tangia 2020 utaamini?? Na je unajua kuwa kupitia fedha za huyo kijana askari hao wamejenga na kununua magari utaamini??Wewe ndiye Mpumbavu. Polisi wameua raia na ushahidi upo wazi. Kamati unaunda ya nn badala ya kuchukua hatua Kwa wauaji??
Kaa kwa kutulia, hiyo tume ndio itakupa mkeke kamili, polisi wametoa ripoti ikiwa ni sambamba na kuwalinda watu kadhaa.