Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Nani kamuwakilisha mkuu? Hii nchi ina mambo ya kijinga na kipuuzi sana.
 
Labda huujui Arusha.
Miaka yote Mei mosi maudhurio yanakuwa makubwa kwasababu ya A to Z iliyoajiri zaidi ya wadada (cheap labour) msharahara 150,000 idadi yao ni kama 10,000 hivi.

Sunflag hivyo hivyo wafanyakazi 5,000,wote hawa ni wahindi ambao siku zote wanatumika na serekali ya mkoa.

Ukiwaweka na waalimu,manesi........lazima uwanja utapike.

So ukijibaraguza na Makonda wako unakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa kutokujua.
 
Mtumishi Rabbon, Mh Tundu Antipas Lissu je yuko sahihi juu ya ile kauli yake kuhusu Rais wetu wa JMT kuhusu kanda yanayotoka?
Lissu ametumia Katiba ya Zanzibar na ya Tanzania kusema alichosema.

Nchi ya Zanzibar IPO Hadi Leo haijafa, na Samia kadi ya mkazi Zanzibar anayo,

Sasa sioni HOJA hapo ya kubishania.
 
Lissu ametumia Katiba ya Zanzibar na ya Tanzania kusema alichosema.

Nchi ya Zanzibar IPO Hadi Leo haijafa, na Samia kadi ya mkazi Zanzibar anayo,

Sasa sioni HOJA hapo ya kubishania.
Mtumishi Rabbon sawa lkn kauli yake ile haitasababisha chama chake kufutwa na msajili wa vyama?
 
Mtumishi Rabbon sawa lkn kauli yake ile haitasababisha chama chake kufutwa na msajili wa vyama?
Halafu jambo rahisi ni kuifuta Zanzibar Ili iwe Nchi Moja kuondoa mkanganyiko huu kikatiba kuliko kuwaza kuifuta CHADEMA Kwa kauli za Lisuu kama Mtanzania aliyetumia uhuru uliotolewa na katiba ya nchi Kutoa maoni yake.
 
Makonda pamoja na mambo yake ila ana mchango mkubwa kwenye idadi ya watu. Hao wanaoitwa wadudu pekeyao wapo wa kutosha.
 
Kauli Ile ni ya Lissu au kauli ya CHADEMA?

Halafu kwani ni uongo Samia Si mzanzibari?
Ile kauli ni Lissu, ila kwa mjibu wa maelezo ya Nape kwamba chama chake Lissu kiko kimya na ile kauli.
Ni kweli Samia ni Mzanzibari, ila Mtumishi kwa nini amkosoe kwa kutumia eneo analotoka Bibi wa Mipasho?
Je tukiwa na Rais Mtanganyika mfano awe anatoka DODOMA, halafu kiongozi fulani kwenye kumkosoa aseme " Mgogo huyu kakodisha ziwa letu Victoria miaka 100 kwa Wamarekani, ni kwa sababu Mgogo huyu hana uchungu na hili Ziwa kwa sababu Dodoma hakuna ziwa"
Je hii si kauli ya kibaguzi ya kikabila Man of God?
 
Lazima ionekane hivyo,

Iweje agawe bandari za bara ilhali Bandari za Zanzibar haziguswi?

Lazima tuone kuwa amefanya hivyo sababu Hana uchungu na Tanganyika,

UKWELI lazima usemwe Ili tupone,

Dawa ya yote hayo ni Serikali Moja au Tatu.
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Leo
Leo si ni mapumziko jamani? Maza kaamua na yeye apumzike, aalike marafiki zake wagonge cheers🥂🍻
 
Makonda pia anaapia hapo mkuu, kwa ulivyo ubovu wa uongozi huu, angehamasisha kwa mfano katibu mkuu wao uone huo mwitikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…