Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Yuko mzima bukheri wa afya. Anachapa kazi Ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo kwa sasa Hana kabisa majibu juu ya malalamiko ya wafanyakazi. Kila mtu apambane na Hali yakeHili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Nani kamuwakilisha mkuu? Hii nchi ina mambo ya kijinga na kipuuzi sana.Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Labda huujui Arusha.Hakuna ushauri mbaya alioukubali kama huu wa kutokwenda kwenye hizi sherehe, bora angefika atoe ahadi za uongo
Itakua alidhani mahudhurio yatakua finyu kama sherehe za juzi ila sio mbele ya Makonda
Binafsi naona huu mkutano ndio angeutumia kurudisha imani kwa wananchi kama wangeona kwa jicho la mbali
Mtumishi Rabbon, Mh Tundu Antipas Lissu je yuko sahihi juu ya ile kauli yake kuhusu Rais wetu wa JMT kuhusu kanda anayotoka Mh Rais?Labda anajiandaa kuja kuzijibu HOJA za TUNDU Lissu!!
Lissu ametumia Katiba ya Zanzibar na ya Tanzania kusema alichosema.Mtumishi Rabbon, Mh Tundu Antipas Lissu je yuko sahihi juu ya ile kauli yake kuhusu Rais wetu wa JMT kuhusu kanda yanayotoka?
Mtumishi Rabbon sawa lkn kauli yake ile haitasababisha chama chake kufutwa na msajili wa vyama?Lissu ametumia Katiba ya Zanzibar na ya Tanzania kusema alichosema.
Nchi ya Zanzibar IPO Hadi Leo haijafa, na Samia kadi ya mkazi Zanzibar anayo,
Sasa sioni HOJA hapo ya kubishania.
Kauli Ile ni ya Lissu au kauli ya CHADEMA?Mtumishi Rabbon sawa lkn kauli yake ile haitasababisha chama chake kufutwa na msajili wa vyama?
MajukumuKapita na 120 may Day
Halafu jambo rahisi ni kuifuta Zanzibar Ili iwe Nchi Moja kuondoa mkanganyiko huu kikatiba kuliko kuwaza kuifuta CHADEMA Kwa kauli za Lisuu kama Mtanzania aliyetumia uhuru uliotolewa na katiba ya nchi Kutoa maoni yake.Mtumishi Rabbon sawa lkn kauli yake ile haitasababisha chama chake kufutwa na msajili wa vyama?
Sawa shukurani Mlawi wa Yahweh.Halafu jambo rahisi ni kuifuta Zanzibar Ili iwe Nchi Moja kuondoa mkanganyiko huu kikatiba kuliko kuwaza kuifuta CHADEMA Kwa kauli za Lisuu kama Mtanzania aliyetumia uhuru uliotolewa na katiba ya nchi Kutoa maoni yake.
Makonda pamoja na mambo yake ila ana mchango mkubwa kwenye idadi ya watu. Hao wanaoitwa wadudu pekeyao wapo wa kutosha.Labda huujui Arusha.
Miaka yote Mei mosi maudhurio yanakuwa makubwa kwasababu ya A to Z iliyoajiri zaidi ya wadada (cheap labour) msharahara 150,000 idadi yao ni kama 10,000 hivi.
Sunflag hivyo hivyo wafanyakazi 5,000,wote hawa ni wahindi ambao siku zote wanatumika na serekali ya mkoa.
Ukiwaweka na waalimu,manesi........lazima uwanja utapike.
So ukijibaraguza na Makonda wako unakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa kutokujua.
Karibu 🙏Sawa shukurani Mlawi wa Yahweh.
Ile kauli ni Lissu, ila kwa mjibu wa maelezo ya Nape kwamba chama chake Lissu kiko kimya na ile kauli.Kauli Ile ni ya Lissu au kauli ya CHADEMA?
Halafu kwani ni uongo Samia Si mzanzibari?
Lazima ionekane hivyo,Ile kauli ni Lissu, ila kwa mjibu wa maelezo ya Nape kwamba chama chake Lissu kiko kimya na ile kauli.
Ni kweli Samia ni Mzanzibari, ila Mtumishi kwa nini amkosoe kwa kutumia eneo analotoka Bibi wa Mipasho?
Je tukiwa na Rais Mtanganyika mfano awe anatoka DODOMA, halafu kiongozi fulani kwenye kumkosoa aseme " Mgogo huyu kakodisha ziwa letu Victoria miaka 100 kwa Wamarekani, ni kwa sababu Mgogo huyu hana uchungu na hili Ziwa kwa sababu Dodoma hakuna ziwa"
Je hii si kauli ya kibaguzi ya kikabila Man of God?
Ya lobour day ni ya kipuuziMajukumu
USIKU WA DENI HAUKAWII KUCHA 😂Kama nilijua atakimbia
LeoHili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Leo si ni mapumziko jamani? Maza kaamua na yeye apumzike, aalike marafiki zake wagonge cheers🥂🍻Hakuna ushauri mbaya alioukubali kama huu wa kutokwenda kwenye hizi sherehe, bora angefika atoe ahadi za uongo
Itakua alidhani mahudhurio yatakua finyu kama sherehe za juzi ila sio mbele ya Makonda
Binafsi naona huu mkutano ndio angeutumia kurudisha imani kwa wananchi kama wangeona kwa jicho la mbali