We umenishtua!!..inaanzaga hivi hivi.. Mimi nikaamka mapemaa kwenda kumsikiliza 'the comforter'.. mwisho hakutokea...nikahuzunika.
Namaisha ya sasa ya drones sio salama muda wote rais anajianika hadharani wakati anawasaidizi wakutoshaSio kila mwaka ahudhirie, kuna miaka hatakiwi kuhudhuria wafanyakazi wasimzoee sana. Atahudhuria mei mosi ijayo kama kutakuwa na jambo muhimu la kuzungumzia.
Hana majukumu muhimu yoyote. Marais wenye majukumu muhimu unajuwa wewe?Bila shaka ana majukumu mengine muhimu zaidi.
Bila shaka utakuwa unajua alipo!Hana majukumu muhimu yoyote. Marais wenye majukumu muhimu unajuwa wewe?
Hapana sijui ila mimi ni mtu nayetumia ubongo wangu vizuri. Hakuna rais mwenye majukumu muhimu anayeweza kuendesha nchi iwe kama ilivyo Tanzania ya sasa. Jaribu kutumia ile kanuni ya inpunt = output!Bila shaka utakuwa unajua alipo!
Ulitaka ndani ya miaka 3 tuwe sawa na Urusi?Hapana sijui ila mimi ni mtu nayetumia ubongo wangu vizuri. Hakuna rais mwenye majukumu muhimu anayeweza kuendesha nchi iwe kama ilivyo Tanzania ya sasa. Jaribu kutumia ile kanuni ya inpunt = output!
Hakika nyie ndiyo misukule inayodanganywa kila uchaguzi ikipewa kila aina ya ahadi! CCM imeanza kutawala kipindi cha Samia? Mtu mzima umekaa kweli unasubiri na kujiambia kuwa sasa hivi ana miaka mitatu tu? Ungekuwa ndugu yangu ningekutenga kwenye familia.Ulitaka ndani ya miaka 3 tuwe sawa na Urusi?
Yaani Dodoma kama Moscow?
Mwajiri mkuu ni rais na siyo samia. Rais alikuwepo huki japo samia hakuwepo.Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
vingozi wa kitaifa ni wengi, yupo makamu wa rais, waziri mkuu, naibu waziri mkuu wanatosha kumuwakilisha kwenye matukio ya kitaifa na hata kimataifa. Hizi mei mosi haipendezi kila mwaka awe mgeni rasmi, anaweza asihudhurie miaka miwili mpaka mitatu, ahudhurie pale tu panapokuwa na jambo muhimu la kuzungumzia kwa msimu wa mwaka huo na sio habari ya kuongeza mishahara na marupurupu, mara kima cha chini na juu, upuuzi mtupu kuongelea hayo mambo kila mwaka wakati kuna mambo mengi ya kuongelea yanayohusu taifa hili. Habari za mishahara minono kuna wizara ya kazi ipo, wizara ya utumishi ipo watazungumzia mishahara huko. Hizi mei mosi ifike wakati waziri wa kazi ndiyo akawe mgeni rasmi Rais ana majukumu makubwa haipendezi kwenda kuzungumzia kikokotoo huko wakati mawaziri wa kisekta wapoNamaisha ya sasa ya drones sio salama muda wote rais anajianika hadharani wakati anawasaidizi wakutosha
Sawa, ila Mtumishi hivi inakuwaje,Lazima ionekane hivyo,
Iweje agawe bandari za bara ilhali Bandari za Zanzibar haziguswi?
Lazima tuone kuwa amefanya hivyo sababu Hana uchungu na Tanganyika,
UKWELI lazima usemwe Ili tupone,
Dawa ya yote hayo ni Serikali Moja au Tatu.
Ni lazima?Hii imekuwa ni desturi yetu mkuu, na hili siyo la kuiga
Pumzi imekata ziel porojo za, ,sijui maama ....mamaa ... mama amenifulia maama amefanyaje kwishaHili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Maswali mengine!!Umeambiwa na nani?
Wewe sio mzima...Hakika nyie ndiyo misukule inayodanganywa kila uchaguzi ikipewa kila aina ya ahadi! CCM imeanza kutawala kipindi cha Samia? Mtu mzima umekaa kweli unasubiri na kujiambia kuwa sasa hivi ana miaka mitatu tu? Ungekuwa ndugu yangu ningekutenga kwenye familia.
😁😁Mpaka sasa Wafanyakazi 0: 7 Wadudu, Wafanyakazi wapo uwanja wa nyumbani leo, ,Hii nchi ngumu sana😂