Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

Sio kila mwaka ahudhirie, kuna miaka hatakiwi kuhudhuria wafanyakazi wasimzoee sana. Atahudhuria mei mosi ijayo kama kutakuwa na jambo muhimu la kuzungumzia.
Namaisha ya sasa ya drones sio salama muda wote rais anajianika hadharani wakati anawasaidizi wakutosha
 
Hapana sijui ila mimi ni mtu nayetumia ubongo wangu vizuri. Hakuna rais mwenye majukumu muhimu anayeweza kuendesha nchi iwe kama ilivyo Tanzania ya sasa. Jaribu kutumia ile kanuni ya inpunt = output!
Ulitaka ndani ya miaka 3 tuwe sawa na Urusi?

Yaani Dodoma kama Moscow?
 
Mara ya mwisho rais kutafuta-tafutwa hivi yalitokea yakutokea.... embu tuwe wavumilivu tusije tukaanza kumchuria kizimkazi fainesiti
 
Ulitaka ndani ya miaka 3 tuwe sawa na Urusi?

Yaani Dodoma kama Moscow?
Hakika nyie ndiyo misukule inayodanganywa kila uchaguzi ikipewa kila aina ya ahadi! CCM imeanza kutawala kipindi cha Samia? Mtu mzima umekaa kweli unasubiri na kujiambia kuwa sasa hivi ana miaka mitatu tu? Ungekuwa ndugu yangu ningekutenga kwenye familia.
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Mwajiri mkuu ni rais na siyo samia. Rais alikuwepo huki japo samia hakuwepo.
 
Namaisha ya sasa ya drones sio salama muda wote rais anajianika hadharani wakati anawasaidizi wakutosha
vingozi wa kitaifa ni wengi, yupo makamu wa rais, waziri mkuu, naibu waziri mkuu wanatosha kumuwakilisha kwenye matukio ya kitaifa na hata kimataifa. Hizi mei mosi haipendezi kila mwaka awe mgeni rasmi, anaweza asihudhurie miaka miwili mpaka mitatu, ahudhurie pale tu panapokuwa na jambo muhimu la kuzungumzia kwa msimu wa mwaka huo na sio habari ya kuongeza mishahara na marupurupu, mara kima cha chini na juu, upuuzi mtupu kuongelea hayo mambo kila mwaka wakati kuna mambo mengi ya kuongelea yanayohusu taifa hili. Habari za mishahara minono kuna wizara ya kazi ipo, wizara ya utumishi ipo watazungumzia mishahara huko. Hizi mei mosi ifike wakati waziri wa kazi ndiyo akawe mgeni rasmi Rais ana majukumu makubwa haipendezi kwenda kuzungumzia kikokotoo huko wakati mawaziri wa kisekta wapo
 
Lazima ionekane hivyo,

Iweje agawe bandari za bara ilhali Bandari za Zanzibar haziguswi?

Lazima tuone kuwa amefanya hivyo sababu Hana uchungu na Tanganyika,

UKWELI lazima usemwe Ili tupone,

Dawa ya yote hayo ni Serikali Moja au Tatu.
Sawa, ila Mtumishi hivi inakuwaje,
Bandari imetolewa vile, je spika wa bunge la JMT naye hastahili lawama?

Deep state nao kama jambo hili halina maslahi na taifa inakuwaje walishindwa kuingilia kati wakaruhusu lifanyike?
 
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.

Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Pumzi imekata ziel porojo za, ,sijui maama ....mamaa ... mama amenifulia maama amefanyaje kwisha
 
Mama yetu kukosekana kwako leo kwa kweli kumetusononesha sana sisi watoto wako. Sauti yako ilikuwa ni muhimu sana leo.

all ini all kila lakheri kwenye majukumu yako.
 
Hakika nyie ndiyo misukule inayodanganywa kila uchaguzi ikipewa kila aina ya ahadi! CCM imeanza kutawala kipindi cha Samia? Mtu mzima umekaa kweli unasubiri na kujiambia kuwa sasa hivi ana miaka mitatu tu? Ungekuwa ndugu yangu ningekutenga kwenye familia.
Wewe sio mzima...

Ni nchi gani Afrika imeendelea kwa kiwango kikubwa kuliko nyingine ili tuisingizie CCM kwenye hili?...

Unataka kusema nchi akipewa Mbowe itakuwa kama urusi?

Tumechelewa ndio ila nyinyi hamuwezi kufanya chechote mkipewa nchi zaidi ya kujinufaisha wenyewe.
 
Huyo mwanamke hafai kuwa Rais. Siyo patriotic. Hana sifa kabisa. Tanganyika haiwezi kuongozwa na Mzanzibari haswa mwanamke. Ni janga kubwa.
 
Back
Top Bottom