uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Hajasema inawakilisha ujumbe gani?Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
View attachment 3510392
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
View attachment 3510392
Toka mkatoliki ***** kama wewe.Leo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
We RC wa wapi mbona hata kwenye jumuiya sikuonagi?Leo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
Wiki iliyopita ilikua zamu yake kubeba msalaba wa jumuiya,hukuhudhuriaWe RC wa wapi mbona hata kwenye jumuiya sikuonagi?
Ona hili chokoh la kijanLeo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
Muongo wewe RC wa wapi. Acha unafki ungekua ni RC kweli usingeshangaa hoja za TEC. PyeeeeeLeo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
leo naona ndo kaongea vizuri hajakubali kuwa mnyonge , ana mapungufu kaAisee leo katema pumba hazijawahi tokea Tanzania. D09 lazima aondoke!
HatimayeRais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
View attachment 3510392
Hakuna niliposema wakristo wote, kabla ya hao TEC kupamba moto hivyo na kuonekana kuwa wao ndio tatizo huko mwanzoni ilikuwa inasemwa kuwa Samia anapingwa kwa sababu ya dini yake na hata ukisikiliza vizuri matamko ya masheikh utaona yanaonyesha kwamba wakristo ndio wanapinga utawala huu wa Samia.Tupo Wakristu tunaomkubali sana tu tena RC kabisa usipotoshe. Sema wewe ndio humkubali wala siyo wakristu wote.
Ongeza hizi kwenye ushahidi wako wa ICCAnapandikiza mbegu ya udini.
Unaiba Urais, unateka watu, unapoteza watu, unaua maelfu ya watu alafu bado unapandikiza mbegu ya udini?
Aisee kweli damu ya watu inanena
Kondoo zinazowekwa na mbwa mwitu kila siku.Waambie wajikite kuchunga kondoo
we sio mkristu acha ufala basi rais wenu anajishtukia nje ndaniTupo Wakristu tunaomkubali sana tu tena RC kabisa usipotoshe. Sema wewe ndio humkubali wala siyo wakristu wote.
Thread 'Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?' Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
View attachment 3510392