Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
 
.....huwa ndivyo inavyokuwa dogo! Jakaya alichukiwa akasemwa dhaifu anacheka cheka, Magufuli walimwita Muuaji na Samia anaitwa Dikteta.
Cha msingi tafuta fedha Tz ni nchi ya fursa kwa kila mtu! Usizubae na siasa za wakina HEche, naye ni mwana CCM mtarajiwa.
 
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
usilie sasa
 
Anajua sana kuwa sisi Watanganyika hatumpendi ila kiburi kimemtawala.
 
Kwani yeye mwenyewe hawezi kujua kwamba watu hawampendi?

Hana uwezo wa kuingia hapa JF na huko kwingine ambako watu hutoa maoni yao kwa uhuru?

Sijui kwa nini tu mnapenda kumpa excuses!
Sijatoa excuses. Nimeweka wazi hapendwi. Ukikaa kwenye vijiwe kila kona wananchi hawampendi. Watu walio karibu nae walipaswa kumpwa ukweli.
 
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
Hilo hufanywa kwenye sanduku la kura
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Alipata 98% ya kura.
2% tu ndio hawampendi!.
 
Back
Top Bottom