Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Samia wenu hapendwi na watanganyika 99% ndiyo maana urais aliupata baada ya kumuua magufuli ili arithi.Kuthibitisha hilo angalia pale ulipofanyika uchaguzi october 29 watu tuliandamana kumkataa lakini wakatumia mabomu kutuua.Maandamano awamu ya pili yanakuja.huyu hafiki 2030
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.

Kundi Dogo ndo lingesababisha JWTZ kuingia kusandia Samia habaki madarakani? Kundi Dogo ndo lilisababisha Samia kula kiapo amejificha?
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Bibi angalia utakujq kuchezeq kifiro hapa
 
Kwani yeye mwenyewe hawezi kujua kwamba watu hawampendi?

Hana uwezo wa kuingia hapa JF na huko kwingine ambako watu hutoa maoni yao kwa uhuru?

Sijui kwa nini tu mnapenda kumpa excuses!
Ahaaaa. Bora umeshauri vyema awe anaingia Jamii forum.
 
Yuko hapo kwa manufaa ya kikundi fulani cha watu.
 
Sijatoa excuses. Nimeweka wazi hapendwi. Ukikaa kwenye vijiwe kila kona wananchi hawampendi. Watu walio karibu nae walipaswa kumpwa ukweli.
Umekaa vijiwe vingapi nchi nzima mkuu. Hivi angekua apendwi na wengi unafikiri angekuwepo hapo Ikulu? Au ajira mpya ndiyo awampendi?
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Nyie ndio walewale mnaomdanganya badala ya kumwambia ukweli yote hayo kwa sababu mnaokota
 
Alaf kinachoumiza akili hana yni hio inauma sana mie na ukoo wetu kuongozwa na bolizozo
 
Huyo Mmama nimeshuhudia mihadhara kadhaa isiyo husu siasa za chama chake wanapoalikwa viongozi wa chama chake kila wakitaja jina lake nimeonq wanainchi bila hiyana wakilizomea.

Inabidi huo mchezo wa kulitaja hilo jina ukome maana itawatesa sana.
 
Back
Top Bottom