Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

Mzee wa busara 🎶 THROW BACK THURSDAY
 
Attachments

  • Facebook_1787801245609(540p).mp4
    6.5 MB
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
Kwani kutompenda kwenu Kuna athari gani kwenye urais wake zaidi ya nyinyi kujisababishia magojwa ya moyo Kwa sababu ya viroho? ,nyinyi bwabwajeni mkichoka mtalala na hamna cha kumfanya.
Alafu sio kweli kuwa anachukiwa na watz wote na wala hakuna kiongozi yeyote duniani ambaye huwa anachukiwa au kupendwa na raia wote anao waongoza.
Pamoja na yanayo endelea bado ccm ina ushawishi mkubwa sana Kwa watz wengi hasa wa vijijini ambao ndo asilimia mkubwa ya watz sema TU viongozi wa ccm ndo hawajiamini tu.
 
Tuliza matako. Hujaona kilichotokea Oktoba 29?
 
.....huwa ndivyo inavyokuwa dogo! Jakaya alichukiwa akasemwa dhaifu anacheka cheka, Magufuli walimwita Muuaji na Samia anaitwa Dikteta.
Cha msingi tafuta fedha Tz ni nchi ya fursa kwa kila mtu! Usizubae na siasa za wakina HEche, naye ni mwana CCM mtarajiwa.
Toa upuuzi.
 
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
We siyo wananchi ulikimbia uchaguzi sisi tulimchagua Samia kuwa Rais wetu
 
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.

Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
hilo la kurefusha muhula unaandika kishabiki tu kama maoni yako binafsi, hata kama anapendwa sana na wananchi wengi sana hataongeza muhula labda aseme miaka ya awamu ya tano aliyorithi haihesabiki
 
Kutopendwa au kupendwa ni jambo muhimu sana kujua jamii yako inakuonaje, ndio siasa zenyewe zilivyo, unaenda kwenye uchaguzi huku ukiwa na picha halisi utapata kura ngapi na unatarajia matokeo gani. Ni ngumu kuongoza watu wasiokupenda, kila unachowafanyia/unachofanya hawaoni jema, wanaponda tu, ndio maana kuna dhana ya kujiuzulu ukiona unaowaongoza hawakupendi kwa idadi kubwa.
 
Lini mlimpenda rais muislam?..kila rais muislam maneno huwatoka mkiongozwa na matamko ya wapiga punyeto wenu
udini wako unakufanya uonekane huna akili, weka dini mbali uwe huru kufikiria mambo kwa kina
 
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
2030 Raisi ajaye atakuwa mzanzibar tena maji mtaita mma.
It's me number moja wa Tanzania.
 
Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.

Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?

Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
anajua ila anakaza fuvu tu
 
.....huwa ndivyo inavyokuwa dogo! Jakaya alichukiwa akasemwa dhaifu anacheka cheka, Magufuli walimwita Muuaji na Samia anaitwa Dikteta.
Cha msingi tafuta fedha Tz ni nchi ya fursa kwa kila mtu! Usizubae na siasa za wakina HEche, naye ni mwana CCM mtarajiwa.
Yes, tonetone
 
Ubinafsi na maslahi binafsi yanawafanya wengi waseme uongo ili waendelee kula mema ya nchi... Unaweza kutiwa moyo kwenye hamna.
 
Tuliza matako. Hujaona kilichotokea Oktoba 29?
Kwa kilicho tokea kwani Samia alipata hasara gani?
Kwani oktoba 29 waliofanya fujo ni wtz wote au ni baadhi ya wapumbavu wachache wafuata mkumbo na wajazwa ujinga na Wana Saisa?
Mm ccm siipendi lakini kilicho fanyika October kilikuwa ni upumbavu wa Hali ya juu hata serikali ingekuwa ya chadema isinge vumilia upumbavu uliokuwa unafanyika Kwa kivuri cha maandamano.
 
Back
Top Bottom