usilie sasaHili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.
Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?
Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
Anajua sana kuwa sisi Watanganyika hatumpendi ila kiburi kimemtawala.Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.
Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?
Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
Sijatoa excuses. Nimeweka wazi hapendwi. Ukikaa kwenye vijiwe kila kona wananchi hawampendi. Watu walio karibu nae walipaswa kumpwa ukweli.Kwani yeye mwenyewe hawezi kujua kwamba watu hawampendi?
Hana uwezo wa kuingia hapa JF na huko kwingine ambako watu hutoa maoni yao kwa uhuru?
Sijui kwa nini tu mnapenda kumpa excuses!
Wampe ukweli gani ambao yeye haujui?Sijatoa excuses. Nimeweka wazi hapendwi. Ukikaa kwenye vijiwe kila kona wananchi hawampendi. Watu walio karibu nae walipaswa kumpwa ukweli.
Hilo hufanywa kwenye sanduku la kuraHili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani.
Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea?
Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae madarakani ukituhumiwa kwa mauji ya Ali Kibao na wenngine huku ukiwa kimya?
Lini mlimpenda rais muislam?..kila rais muislam maneno huwatoka mkiongozwa na matamko ya wapiga punyeto wenuAnajua sana kuwa sisi Watanganyika hatumpendi ila kiburi kimemtawala.
TISS ya nini? Kwani hana simu?What is Tiss doing?
Sidhaani kama ni kweli eti kwa sababu ya dini;mimi ni dini moja na huyo;lakini sina tabia kama za Mwaipopo,kila siku dini dini dini;mbona kuna mashekh walisota jela JPM akaja akawatoa?Lini mlimpenda rais muislam?..kila rais muislam maneno huwatoka mkiongozwa na matamko ya wapiga punyeto wenu
Alipata 98% ya kura.Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.
Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Hakuna uchaguzi ni wizi wa kura tuu..98%,endelea kujitoa akiliHilo hufanywa kwenye sanduku la kura
MmmhMimi ndio naongoza kumchukia.
Tangu october 29 nimemchukia mno.
Sitaki hata kumsikia.