Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Samia wenu hapendwi na watanganyika 99% ndiyo maana urais aliupata baada ya kumuua magufuli ili arithi.Kuthibitisha hilo angalia pale ulipofanyika uchaguzi october 29 watu tuliandamana kumkataa lakini wakatumia mabomu kutuua.Maandamano awamu ya pili yanakuja.huyu hafiki 2030Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.
Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Hakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.
Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Bibi angalia utakujq kuchezeq kifiro hapaHakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.
Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Wewe ni shoga?Bibi angalia utakujq kuchezeq kifiro hapa
Ahaaaa. Bora umeshauri vyema awe anaingia Jamii forum.Kwani yeye mwenyewe hawezi kujua kwamba watu hawampendi?
Hana uwezo wa kuingia hapa JF na huko kwingine ambako watu hutoa maoni yao kwa uhuru?
Sijui kwa nini tu mnapenda kumpa excuses!
Umekaa vijiwe vingapi nchi nzima mkuu. Hivi angekua apendwi na wengi unafikiri angekuwepo hapo Ikulu? Au ajira mpya ndiyo awampendi?Sijatoa excuses. Nimeweka wazi hapendwi. Ukikaa kwenye vijiwe kila kona wananchi hawampendi. Watu walio karibu nae walipaswa kumpwa ukweli.
Nyie ndio walewale mnaomdanganya badala ya kumwambia ukweli yote hayo kwa sababu mnaokotaHakuna Rais duniani anapendwa na wananchi wake wote. Hata Mama Samia hapendwi na kundi dogo sana la raia ambao wana sababu zao binafsi. Kutompenda Mama Samia sio kosa kisheria ila chunga sana chuki zako zisikufanye uvunje sheria kwa kutukana au kutaka kufanya uhaini. HAUTAVUMILIWA.
Penda usipende Mama Samia ndo Rais wako hadi 2030 na tunaompenda tutafanya kila kinachowezekana pale kwenye katiba tumwongezee muda hadi 2037.
Kwamba mwamba wa matusi?.. halafu hicho kiungo mbona unakitaja sanaWe ****** ngoja nikublock. Maana huwa sitaki uchangie nyuzi zangu.