johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wawekezaji ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dp worldWawekezaji ni muhimu
Ameena kutembea kwao Kwani hujui kuwa samia Waarabu ni wajomba zake...
Sasa si atawauzia wanyama wote wa NgorongoroAmeena kutembea kwao Kwani hujui kuwa samia Waarabu ni wajomba zake...
Nanukuu
"mnamo Oktoba 18, 2017, wakati Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman, Dk. Mohammed Hamad Al Rumhy alipotembelea Tanzania, Rais Magufuli alimtaja Makamu wa Rais Samia kuwa na wajomba wanaoishi Oman. Katika video hiyo, Rais Magufuli alisema: "Nilimtuma jana Makamu wa Rais kwenda kuniwakilisha kule. Na bahati nzuri Makamu wa Rais wajomba zake wapo Oman. Kwahiyo alikuwa nyumbani…"
Dokezo hilo la Rais Magufuli halikufunga mjadala wa uhusiano wa Samia na Oman. Mnamo tarehe 20 Machi 2021, tovuti ya gazeti la The National la nchini Oman lilichapisha makala iliyohusu uhusiano wa Rais Samia na nchi hiyo. Makala hiyo yenye kichwa cha habari "Historia ya Pamoja: Wananchi wa Oman Wafurahia Samia Suluhu Hassan Kuwa Rais wa Tanzania" ilieleza kuwa kiongozi huyo ana uhusiano na Oman kupitia babu yake wa upande wa baba, ambaye alizaliwa katika mji wa Al Mudhaibi, nchini humo.....
Mwisho wa nukuu.......
Ongeza povu Mzee akitoka huko ni India
Ongeza povu Mzee akitoka huko ni India
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1709217105734775177?t=ks44MvmkinKU1lKZ6-_udA&s=19
Teknolojia ndio mpango mzima hujasikia Egypt na Israel ndio mabingwa wa ku supply mboga mboga na matunda hapo Middle East?Mnaenda kujifunza kilimo kwa wazee wa jangwani
Ova
Ongeza povu bwasheePumbavu. Jikite kwa ishu iliyopo mezani
Labda ndio anatafuta wawekezaji wa umemeUwekezaji ni muhimu ila matatizo yaliyopo nchini ni muhimu zaidi kushughulikiwa mapema.
MY NOTE: Mama arudi apambanie matatizo kama umeme Kwanzaa hakuna mwekezaji atakaefanya kazi pasipo umeme wa uhakika
Si wamesema bwawa letu litatosheleza na kutoa ziada ya kuuza
Tujiandae anaweza kuuza au kubinafdisha TANAPA au NGORONGORO au ikishindikana SGR.
LabdaLabda ndio anatafuta wawekezaji wa umeme