Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

Kwenye hii sherehe waalikwa wengine wote hapo ni geresha, aliyepangwa kuleweshwa na kubakwa hapo ni Tanganyika.

Kuna pori tengefu Waarabu washalionaa mahala limekaliwa kizembe zembe na wananchi manyani linapaswa kupandwa maua ya ku export.

Kwa saab cheki guest list, ni waarab watupu, na Tanzania na prime minister wa Kagame. Nani hapo unadhani kaiva kubakwa ?
 
Anapenda safari kweli.

Hao wafalme mbona hawaji hapo kwake, yeye kila siku kigulu na njia kwenda kwao?
Fursa nzuri kwake ya kwenda kutoa ripoti ya mkwamo wa IGA na maswala mengine ya mwelekeo huo.
.
Itakuwa ni ujinga kudhani kwamba Qatar ndiko kuna mfano wa kuigwa katika nyanja hiyo ya kilimo.

Huyu naona kawekeza matumaini yake makubwa huko kwenye hivi vi-nchi vyenye ukwasi mkubwa. Lakini sijui kama gharama yake halisi anaijua.

Kinachosikitisha zaidi ni kwa hawa viongozi wetu, wanapokuwa katika vi-nchi kama hivi na nyinginezo, ni kwamba haiwakumbushi kuwa bila raslimali walizobahatika kuwa nazo, na kuwawezesha kuwa na hali hii waliyonayo sasa, nchi hizi zingekuwa ni miongoni mwa nchi duni sana duniani.

Viongozi wetu hawa hawakumbuki chochote jinsi wanavyotapanya tulicho jaaliwa sisi, nasi kitunufaishe angalau hata kidogo.
Hili hawalikumbuki kabisa.
 
Ccm wasipmziboto huyu mama lazima awaletee tena litimbwili lingine
Loooh!

Kuna nani huko CCM wa kumdhibiti Mwenyekiti?
Wote walioko ndani ya CCM wanatambua kuwepo kwao ni fadhira adhimu ya Mwenyekiti huyo huyo!
 
Kwenye hii sherehe waalikwa wengine wote hapo ni geresha, aliyepangwa kuleweshwa na kubakwa hapo ni Tanganyika.

Kuna pori tengefu Waarabu washalionaa mahala limekaliwa kizembe zembe na wananchi manyani linapaswa kupandwa maua ya ku export.

Kwa saab cheki guest list, ni waarab watupu, na Tanzania na prime minister wa Kagame. Nani hapo unadhani kaiva kubakwa ?

Nikustuwe kidogo wewe na wengine ambao bado hamjaliona hili linalokuja.
Hawa sasa ndio wafadhiri wakuu watakaotununulia serikali ijayo chini ya Mh. Samia.
Mapesa yatakayomwagwa hapa mwakani na 2025, haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii

Kwenda kupiga kura itakuwa ni kwenda kujifurahisha tu, Samia serikali yake itapatikana kwa bei watakayoigharamia hawa wenye pesa za kuchezea tu wanalopenda kujifurahisha nalo.
Ila hapa kwetu wanawekeza kwa maslahi yao.
 
We hujui kama huko ni kwao anaenda kuangalia ujenzi wa mansion yake bwana akimaliza muda wake ataishi huko

Labda mirungi, waarabu na kilimo wapi na wapi??
We angalia kama utaona presdaa smart kutoka Afrika atakayehudhuria huo mkutano.ui kama
 
Huu ni muendelezo wa mikakati na kuifunga Tanzania katika nchi za ghuba ikiangazia Qatar kuwekeza Tanzania pia kupata fursa kukutana na wawekezaji toka nchi zingine kupitia majukwaa kama haya

May 2023

Msukumo wa diplomasia ya kiuchumi, Rais Hussein Mwinyi amuwakilisha Rais Samia Hassan


Power International Holding ya Qatar uwekezaji mkubwa katika umeme, majenzi, utalii wakaribishwa Zanzibar na Tanzania bara


View: https://m.youtube.com/watch?v=KP0_7imHYyo&

Rais Dr. Hussein Mwinyi alikutana na uongozi wa kampuni kubwa tajwa ikiwemo ya Power International Holding ya Qatar na ujumbe ukafanya mazungumzo ya kina kuhusu uwekezaji Zanzibar na Tanzania bara.

Hayo yamejiri wakati Rais Hussein Mwinyi alipomuakilisha rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katiks third edition of the ‘Qatar Economic Forum’, powered by Bloomberg’ held in Doha from May 23-25, this year 2023.

More info :

2023 Qatar Economic Forum to be held in May​

  • Share this article:

Doha: Chairperson of the Supreme Committee Organising the Qatar Economic Forum (QEF) and CEO of Media City H E Sheikh Ali bin Abdullah bin Khalifa Al Thani emphasised the great success achieved by the second edition of Qatar Economic Forum, Powered by Bloomberg, which was held in June last year, revealing the launch date of the third edition, which is scheduled for May 2023 .

In his interview with QNA, Chairperson of the Supreme Committee Organizing the Qatar Economic Forum said that the 3rd edition, which is expected to take place May 23-25, will attract more influential business leaders, academics and heads of government to highlight the necessary innovations to move the global economy forward.

He pointed out that the second edition of the Qatar Economic Forum brought together around 1,000 participants, including CEOs, inspiring entrepreneurs, innovative business leaders and others, adding that their goal was to formulate a dialogue bank to find solutions to some of the most pressing global challenges, such as the ongoing supply chain crisis, the gap between future jobs and the current capabilities of the workforce in the post-pandemic world.

He added that in the context of this globally important dialogue, participants and government officials were received at the highest level, under the patronage of H H the Amir.

More than 75 keynote speakers participated, as well as prominent business figures such as the founder of Tesla Elon Musk, Chairperson and CEO at TotalEnergies Patrick Pouyanne, Shell CEO Ben van Beurden, Executive Secretary of the United Nations Economic Commission for Africa Vera Songwe, as well as other global dignitaries and ministers from around the world.

He explained that the most important results of the dialogue was exchanging views and highlighting the future of the global economy and the responsibility towards achieving a comprehensive and sustainable recovery, recalling the MoUs that were signed on the sidelines of the Forum, such as those signed between the Qatari and Egyptian finance ministers to coordinate in the field of financial policies and their mechanisms.

Chairperson of the Supreme Committee Organising the Qatar Economic Forum and CEO of Media City said that the second edition was an opportunity to seek the opinions of prominent personalities such as the CEO of Boeing Dave Calhoun, retired US Army General David Petraeus, KIA Board Member & Managing Director H E Ghanem Suleiman Al Ghenaiman, CEO of Syngenta J. Erik Fyrwald among others.

He said the Forum contributed to supporting an ongoing dialogue, which is not limited to one event. “The issues discussed earlier, such as the changing financial environment and the energy transition, will continue to define our strategy for the future of development,” he stated, adding that during May, other vital topics will be added to the Forum’s agenda.

Sheikh Ali bin Abdullah bin Khalifa Al Thani said that the World Cup Qatar 2022 and sports activities were main topics on the agenda of the second edition of the Forum in July. “The discussions focused on the economic and social impacts of the tournament. We were honoured to have listened to the opinions of experts in this field, such as Secretary-General of the Supreme Committee for Delivery and Legacy H E Hassan Al Thawadi, and President of the FIFA Gianni Infantino who highlighted the long-term gr owth brought about by sport in societies and economies.”

“With the successful conclusion of Qatar 2022, better conclusions are now available. The post-tournament stage will allow us to draw the world’s attention to development plans and economic diversification in a country.”

“Qatar Economic Forum serves as a media platform with a diverse agenda that brings together global business leaders to formulate actionable steps towards achieving economic growth.

The Forum has been able to achieve this goal in each edition, and has become today an oasis for dialogue and exchange of views,” he added.

“Qatar Economic Forum is held in Doha, which is a contact point between East, West and Africa. This enhances the Forum’s strategic role in the global business community, because Doha has become today a thriving financial and commercial centre that leads dialogues and provides the possibility of exchanging views with the aim of promoting synergies between the main players on the global economic scene,” Sheikh Ali indicated.

The Chairperson of the Supreme Committee organising Qatar Economic Forum pointed out that Qatar Economic Forum 2023 will focus on prominent global challenges that affect societies and economies around the world.

“However, the most important objective of all editions of the Forum has been strengthening interdependence as an international community.

Therefore, the 2023 edition will revolve around global growth and establishing a new roadmap for global growth in this challenging economic environment. Any event or disturbance that occurs in one part of the world has successive consequences at the global level.

Similarly, holding a dialogue here in the heart of the Middle East enables us to connect thought leaders and decisionmakers from different societies to reach globally applicable solutions for a secure and sustainable future for all,” H E Sheikh Ali said.

He praised the partnership between Media City Qatar and Bloomberg Media Group which resulted in establishing Qatar Economic Forum, saying: “We have together launched this forum, and planned for its success in the midst of an unprecedented global turmoil.

We are working on acquiring solutions that would address the challenges facing human development, inspired by the pillars of Qatar National Vision 2030.”

For more information about the speakers and Forum program, please visit QatarEconomicForum.com
 

Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ukumbini na viongozi wa mataifa mengine kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar
 
Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha

Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.

Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

President of Tanzania arrives in Doha​

Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.

Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.

MAONESHO YA KILIMO YAFUNGULIWA DOHA QATAR

Doha Expo: Qatar seeks global cooperation - PM SAYS

View attachment 2770044
Photo: His Highness the Amir Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani patronised Monday the opening ceremony of International Horticultural Expo 2023 Doha, under the theme 'Green Desert, Better Environment', at Al Bidda Park, in the presence of President of the United Arab Emirates Sheikh Mohamed bin Zayed al-Nahyan, President of the Republic of Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev, President of Djibouti Ismail Omar Guelleh, President of the United Republic of Tanzania Samia Suluhu Hassan, Prime Minister of the Republic of Iraq Mohammed Shia' al-Sudani, Prime Minister of the Republic of Yemen Dr Maeen Abdulmalik Saeed, andPrime Minister of the Republic of Rwanda Dr Edouard Ngirente.

The highly-anticipated International Horticultural Expo 2023 Doha officially launched on Monday at the all-green Al Bidda Park, redirecting global attention back to mega-event host Qatar.

View: https://m.youtube.com/watch?v=dOhuyMZeUDc

Asante
 
Back
Top Bottom