Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
🤣🤣Warudi salama lakini bila kuingia Mikataba yenye utata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Warudi salama lakini bila kuingia Mikataba yenye utata
Fursa nzuri kwake ya kwenda kutoa ripoti ya mkwamo wa IGA na maswala mengine ya mwelekeo huo.Anapenda safari kweli.
Hao wafalme mbona hawaji hapo kwake, yeye kila siku kigulu na njia kwenda kwao?
Loooh!Ccm wasipmziboto huyu mama lazima awaletee tena litimbwili lingine
The queen of Sheba. It's a historyAnapenda safari kweli.
Hao wafalme mbona hawaji hapo kwake, yeye kila siku kigulu na njia kwenda kwao?
Kwenye hii sherehe waalikwa wengine wote hapo ni geresha, aliyepangwa kuleweshwa na kubakwa hapo ni Tanganyika.
Kuna pori tengefu Waarabu washalionaa mahala limekaliwa kizembe zembe na wananchi manyani linapaswa kupandwa maua ya ku export.
Kwa saab cheki guest list, ni waarab watupu, na Tanzania na prime minister wa Kagame. Nani hapo unadhani kaiva kubakwa ?
SGR, Busisi brigde barabara kila sehemu, madaraja mfano la Pangani, lile la Wami.Ipi hiyo miradi mingi??
mbona huwa munakwenda Israel kujifunza kilimo? Kule sio jangwani?Mnaenda kujifunza kilimo kwa wazee wa jangwani
Ova
Labda mirungi, waarabu na kilimo wapi na wapi??
We angalia kama utaona presdaa smart kutoka Afrika atakayehudhuria huo mkutano.ui kama

Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha
Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.
Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
President of Tanzania arrives in Doha
Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.
Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.
MAONESHO YA KILIMO YAFUNGULIWA DOHA QATAR
Doha Expo: Qatar seeks global cooperation - PM SAYS
View attachment 2770044
Photo: His Highness the Amir Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani patronised Monday the opening ceremony of International Horticultural Expo 2023 Doha, under the theme 'Green Desert, Better Environment', at Al Bidda Park, in the presence of President of the United Arab Emirates Sheikh Mohamed bin Zayed al-Nahyan, President of the Republic of Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev, President of Djibouti Ismail Omar Guelleh, President of the United Republic of Tanzania Samia Suluhu Hassan, Prime Minister of the Republic of Iraq Mohammed Shia' al-Sudani, Prime Minister of the Republic of Yemen Dr Maeen Abdulmalik Saeed, andPrime Minister of the Republic of Rwanda Dr Edouard Ngirente.
The highly-anticipated International Horticultural Expo 2023 Doha officially launched on Monday at the all-green Al Bidda Park, redirecting global attention back to mega-event host Qatar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=dOhuyMZeUDc