Tunaweza kuwapa wawekezaji watusaidie kuliendesha, mkapa aliwapa net group solutions.Si wamesema bwawa letu litatosheleza na kutoa ziada ya kuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaweza kuwapa wawekezaji watusaidie kuliendesha, mkapa aliwapa net group solutions.Si wamesema bwawa letu litatosheleza na kutoa ziada ya kuuza
Acha uchooorrrrkooor basiAmeenda kutoa mrejesho home
Qatar si Oman....Ameena kutembea kwao Kwani hujui kuwa samia Waarabu ni wajomba zake...
Nanukuu
"mnamo Oktoba 18, 2017, wakati Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman, Dk. Mohammed Hamad Al Rumhy alipotembelea Tanzania, Rais Magufuli alimtaja Makamu wa Rais Samia kuwa na wajomba wanaoishi Oman. Katika video hiyo, Rais Magufuli alisema: "Nilimtuma jana Makamu wa Rais kwenda kuniwakilisha kule. Na bahati nzuri Makamu wa Rais wajomba zake wapo Oman. Kwahiyo alikuwa nyumbani…"
Dokezo hilo la Rais Magufuli halikufunga mjadala wa uhusiano wa Samia na Oman. Mnamo tarehe 20 Machi 2021, tovuti ya gazeti la The National la nchini Oman lilichapisha makala iliyohusu uhusiano wa Rais Samia na nchi hiyo. Makala hiyo yenye kichwa cha habari "Historia ya Pamoja: Wananchi wa Oman Wafurahia Samia Suluhu Hassan Kuwa Rais wa Tanzania" ilieleza kuwa kiongozi huyo ana uhusiano na Oman kupitia babu yake wa upande wa baba, ambaye alizaliwa katika mji wa Al Mudhaibi, nchini humo.....
Mwisho wa nukuu.......
Tuanze kukuuza wewe Kamanda bwerbweer......Sasa si atawauzia wanyama wote wa Ngorongoro
..... hallucinations....it's your problems.....Dark days
Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha
Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.
Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
President of Tanzania arrives in Doha
Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.
Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.
MAONESHO YA KILIMO YAFUNGULIWA DOHA QATAR
Doha Expo: Qatar seeks global cooperation - PM SAYS
View attachment 2770044
Photo: His Highness the Amir Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani patronised Monday the opening ceremony of International Horticultural Expo 2023 Doha, under the theme 'Green Desert, Better Environment', at Al Bidda Park, in the presence of President of the United Arab Emirates Sheikh Mohamed bin Zayed al-Nahyan, President of the Republic of Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev, President of Djibouti Ismail Omar Guelleh, President of the United Republic of Tanzania Samia Suluhu Hassan, Prime Minister of the Republic of Iraq Mohammed Shia' al-Sudani, Prime Minister of the Republic of Yemen Dr Maeen Abdulmalik Saeed, andPrime Minister of the Republic of Rwanda Dr Edouard Ngirente.
The highly-anticipated International Horticultural Expo 2023 Doha officially launched on Monday at the all-green Al Bidda Park, redirecting global attention back to mega-event host Qatar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=dOhuyMZeUDc

tree never lie
Dr. Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.Labda mirungi, waarabu na kilimo wapi na wapi??
We angalia kama utaona presdaa smart kutoka Afrika atakayehudhuria huo mkutano.
Warudi salama lakini bila kuingia Mikataba yenye utataJambo jema
Ila ni UAE
N hakuna niliposema Qatar mkuu nimesema oman nafikir na weww umeona ila nilichosema kuwa Yeye na warabu ni kwao ujombani so sikutaja Qtar sehemu yyte
Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha
Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.
Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater
President of Tanzania arrives in Doha
Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.
Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.
MAONESHO YA KILIMO YAFUNGULIWA DOHA QATAR
Doha Expo: Qatar seeks global cooperation - PM SAYS
View attachment 2770044
Photo: His Highness the Amir Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani patronised Monday the opening ceremony of International Horticultural Expo 2023 Doha, under the theme 'Green Desert, Better Environment', at Al Bidda Park, in the presence of President of the United Arab Emirates Sheikh Mohamed bin Zayed al-Nahyan, President of the Republic of Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev, President of Djibouti Ismail Omar Guelleh, President of the United Republic of Tanzania Samia Suluhu Hassan, Prime Minister of the Republic of Iraq Mohammed Shia' al-Sudani, Prime Minister of the Republic of Yemen Dr Maeen Abdulmalik Saeed, andPrime Minister of the Republic of Rwanda Dr Edouard Ngirente.
The highly-anticipated International Horticultural Expo 2023 Doha officially launched on Monday at the all-green Al Bidda Park, redirecting global attention back to mega-event host Qatar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=dOhuyMZeUDc
Ipi hiyo miradi mingi??Kaachiwa miradi mingi na marehemu na anatakiwa yote kuimaliza. Akijichimbia humu ndani hataweza kupata pesa za kuimaliza madeni aliyoachiwa.