Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

Qatar si Oman....

Hebu uwe na kiasi basi....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Expansion joints ktk kingonza bwawa la Nyere
 
Maonyesho ya kilimo expo? Qatar ni jangwa,chakushangaza Rais wa Tanzania ameenda kwenye maonyesho ya kilimo huko. Huku akiicha Tanzania gizani. Kilimo cha kibiashara tumefeli. Lakini Qatar wameweza Hadi tunakwenda na kwenye maonyesho. Je hii ni akili au matope. ? Kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Si wakuchekea huyu ni wakufurusha kwa aibu kabisa
 
Hakuna Rais aliyewahi kufanya trip za kutosha huko Uarabuni tena ndani ya muda mfupi. Lakini tatizo ni moja. Badala ya sisi kufaidi mali za Wajomba, Wajomba wanataka kufaidi mali zetu.
 
Labda mirungi, waarabu na kilimo wapi na wapi??
We angalia kama utaona presdaa smart kutoka Afrika atakayehudhuria huo mkutano.
Dr. Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Mwenye taarifa anijuze, tafadhali!

Kati ya Tanzania na Qatar wapi wanafanya vizuri zaidi katika kilimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…