Hizo taasisi hawana chanzo chochote cha data zaidi ya serikali husika. So Magufuli alikua mpika data zilizotuweka tusipostahili. We popoma umeelewa?Kwahiyo WB au IMF wanatumia data za uongo?aisee kweli huna akili.yaani taasisi kubwa Kama hizo zitumie data za uongo?
Haya sawa.Nimefurahi kukuona tena... maana hata funza ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.
Nikupe danga?Haya sawa.
Sitaki. Labda unilazimishe.Nikupe danga?
Samia muongo, sasa nani utamuamini?Mimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.
Hii slogan ndio iliyotupumbaza tukaseleleka kutoka uchumi wa kati hadi chini.Anau... Mwingi ilikuwa slogan ya wadwanze! 😂😂😂
Its high time to rea.. What you Sow fellaz!
Hizo Taasisi zina watu wao ambao wanafanya tathimini, na ndiyo maana utakuta Benk ya Dunian anakadilia uchumi wa Tz utakuwa kwa 5.2% lakini Serikali inasema makadilio yao utakuwa kwa 7.1% pia IMF nae atakuja atasema uchumi wa TZ utakuwa kwa 5.9% kwaiyo hawajah kufanana ata siku moja.Hizo taasisi hawana chanzo chochote cha data zaidi ya serikali husika. So Magufuli alikua mpika data zilizotuweka tusipostahili. We popoma umeelewa?
Magufuli was a genius kama alifanikiwa kuwadanganya WB na IMF??Hizo taasisi hawana chanzo chochote cha data zaidi ya serikali husika. So Magufuli alikua mpika data zilizotuweka tusipostahili. We popoma umeelewa?
Uwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...Mbona sioni tofauti ya tulipokuwa uchumi wa kati na sass tunapoambiwa tumeshuka uchumi wa mkia, tangu napata akili Tanzania imejaa maskini, mnatuita wananchi wa Kawaida.
Na umuulize anadhani takwimu za census hazijapelekwa huko? Je zimepikwa au hazijapikwa?WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?
Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Umeacha kudanga? 🤣🤣🤣🤣🤣Sitaki. Labda unilazimishe.
Kudanga ndio nini?Umeacha kudanga? 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Kudanga ndio nini?
AyaaahAwamu ya tano iilikuwa mahiri sana kwa upikaji takwimu. Yule dhalim alikuwa mtu wa kamba sana.
Too bad uchumi haupimwi hivyo.Mimi nipo uraiani Tanzania sihitaji reports za wanasiasa kujua mustakabali wa hali za kiuchumi za raia wenzangu.
Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.
Uwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...
Ila uku kwetu 1 kg ya unga wa sembe ni elfu 2 na mchele super utasikia hewani, tunakula CHENGA kama njiwa.