Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Anau... Mwingi ilikuwa slogan ya wadwanze! 😂😂😂
Its high time to rea.. What you Sow fellaz!
Hii slogan ndio iliyotupumbaza tukaseleleka kutoka uchumi wa kati hadi chini.
 
Hizo taasisi hawana chanzo chochote cha data zaidi ya serikali husika. So Magufuli alikua mpika data zilizotuweka tusipostahili. We popoma umeelewa?
Hizo Taasisi zina watu wao ambao wanafanya tathimini, na ndiyo maana utakuta Benk ya Dunian anakadilia uchumi wa Tz utakuwa kwa 5.2% lakini Serikali inasema makadilio yao utakuwa kwa 7.1% pia IMF nae atakuja atasema uchumi wa TZ utakuwa kwa 5.9% kwaiyo hawajah kufanana ata siku moja.
 
Hizo taasisi hawana chanzo chochote cha data zaidi ya serikali husika. So Magufuli alikua mpika data zilizotuweka tusipostahili. We popoma umeelewa?
Magufuli was a genius kama alifanikiwa kuwadanganya WB na IMF??

Hatari sana.

Hawa wa sasa wanafeli wapi aisee.

Au ndio wapo busy kwenye kushughulikia kujaza akaunti zao?
 
Mbona sioni tofauti ya tulipokuwa uchumi wa kati na sass tunapoambiwa tumeshuka uchumi wa mkia, tangu napata akili Tanzania imejaa maskini, mnatuita wananchi wa Kawaida.
Uwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...

Ila uku kwetu 1 kg ya unga wa sembe ni elfu 2 na mchele super utasikia hewani, tunakula CHENGA kama njiwa.
 
WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?

Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Na umuulize anadhani takwimu za census hazijapelekwa huko? Je zimepikwa au hazijapikwa?
 
Wabongo kama kawaida yenu, mnaanza kurushana roho bila faida yyt.

We Mbongo wa kawaida Uchumi uwe wa kati au wa chini we unafikiri utaacha kula dona upande kwenye BIRIANI?

Hizo story waachieni wanasiasa.
Wadanganyane wao kwa wao. Nyie pambaneni msilale njaa au kula hio mitaji yenu midogo.
Wakati ule Mzee Magu aliposema TZ ina UCHUMI WA KATI we Mtanzania km mimi ULIONA TOFAUTI YYT Nyumbani kwako?
 
Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.

Huyo magufuli alifanya nini cha ziada?
Mbona awamu yake hali ilikua mbaya mpaka raia wanalalamika vyuma vimekaza!
 
Uwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...

Ila uku kwetu 1 kg ya unga wa sembe ni elfu 2 na mchele super utasikia hewani, tunakula CHENGA kama njiwa.

Ccm ni ile ile.
 
Mnaongelea magulu michembe huyu Daktari mpompompo mchumi wa michongo asiyejua kitu mwizi mkubwa yule
 
Back
Top Bottom