Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
100% upo sahihi… Anachoshindwa kutambua waliomzunguka wameshamjua anautaka urais sana sasa kila mmoja anampa ahadi za kufikirika akiahadi atawapa uteuzi watoto wa mjomba na shangazi hao watamsaidia kupiga kampeni 2025Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal Nyerere, miaka ya 70, wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akasema: nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa...
Angetulia angejifunza mengi angempenda Mayor wa Ubungo kuliko Msemaji wa sirikdli…