Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.

Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?”

Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi watuamulie. Akasema, nitavunja Bunge wananchi waamue nani atarudi.

Wakaufyta kwa kujua kuwa wengi wao hawatarudi.

Rais alisema atafanya reforms kubwa, Sasa Rais Samia ana guts /ubavu wa kufanya hilo? Si ataogopa kufanya reforms kwa vile CCM wenzake watakataa kumpitisha kwenye kura za kugombea Urais!

Can she dare to make substantial reforms?

Nadhani nimeeleweka
Swali hapa ni anadhamira kiasi gani na je yuko tayari kuuweka rehani uraisi wake? Kila binadamu ana yake moyoni na kufanikiwa kunategemea wengine na jinsi unavyo waongoza. Gorbachev aliweza, mama anaweza pia kuweza.
 
Hakuna Rais duniani anayetaka kutoka madarakani kutokana na itifaki na matukufu anayopewa!!

hivyo Bimkubwa lazima ataendelea kuwa Rais baada ya uchaguzi 2025 ila mi naona atafanya zile reforms za kumsaidia yeye binafsi zisizo na madhara kwenye utawala wake na sio reforms za kusaidia nchi!!
 
Swali hapa ni anadhamira kiasi gani na je yuko tayari kuuweka rehani uraisi wake? Kila binadamu ana yake moyoni na kufanikiwa kunategemea wengine na jinsi unavyo waongoza. Gorbachev aliweza, mama anaweza pia kuweza.
aliweza na urais ukwa finito
 
Nachokiona ni baadhi kudhihirisha chuki zao tu,huyu Mama p1 na mapungufu yake lkn yule mchato amefanya upuuzi mwingi sana nchi hiii
Unakumbuka ile dhahabu iliyokamatwa Mwanza? Wale waliokamatwa nayo JPM aliwapeleka wapi maana aliwataja na majina baadhi yao.

Vipi kuhusu ile dhahabu iliyokamatwa Kenya ikalejeshwa tanzania kwa commisiob ya Rais Uhuru Kenyata? Wale watanzania waliokamatwa nayo Jpm aliwafanya nini? Mbona barabarani kulikuwa na askari wengi.

Tanzania ni zaidi uijuavyo.
 
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.

Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?”

Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi watuamulie. Akasema, nitavunja Bunge wananchi waamue nani atarudi.

Wakaufyta kwa kujua kuwa wengi wao hawatarudi.

Rais alisema atafanya reforms kubwa, Sasa Rais Samia ana guts /ubavu wa kufanya hilo? Si ataogopa kufanya reforms kwa vile CCM wenzake watakataa kumpitisha kwenye kura za kugombea Urais!

Can she dare to make substantial reforms?

Nadhani nimeeleweka
Samia she's misfit to be the president.
 
Sidhani kama mama ana moyo tena wa kugombea urais 2025 sasa hivi si unaona kaacha kabisa kujipigia debe kuhusu kugombea 2025 .....sasa hivi hata kaacha kusema sema mimi mwanamke sijui wanawake wenzangu sijui tupate rais mwanamke wa kuchaguliwa ......kama hali ya mambo ikiendelea hivi hivi basi samia awezi kujitokeza kuwania urais
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mm siku zoye huwa nashangaa sana sisi Watanzania tunataka tuongozwe na nani. Tatizo la nchi hii ni sis Watanzania wenyewe. Siyo la Mh. Samia, Mh.Magufuli au Mh. Kikwete. Kinachotusumbua sisi ni WOGA.Tunataka maisha mazuri lkn hatuko tayari kuyapigania. Na wenye nchi wameshatujua
Tutasubiri sana kupata mabadiliko ya kweli.
Fafanua kidogo wananchi tuyapiganie maisha kivipi ?
 
Back
Top Bottom