Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Hakuna mwana CCM yeyote mwenye ubavu wa kumgomea Rais wa Jamuhuri ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.

Itoshe kusema fomu itachapwa moja na Rais anayetetea nafasi ataichukua ili akamilishe vipindi vyake viwili.
Ndani ya Ccm ni afadhali yeye kuliko mwingine yeyote kwa sasa !!
 
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.

Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?...
Na ndio maana anateua ambao 'hawajakua kiakili' kwenda kuwa wakuu wa mikoa.
 
Unaijua nguvu ya mwenyekiti wa CCM wewe?
Hanangu nguvu yeyote Mwenyekiti wa CCM hata ya kumkemea mbwa tuu pasipo kuwepo nguvu ya jeshi. Hata Kikwete alisema wazi CCM ikiendelea kutegemea mapolisi kufanya siasa imekwisha.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Reform nchi hii ni katiba mpya ya wananchi tu.
 
Nashauri askari wa usalama barabarani wapunguzwe, hah hah na wanapunguzwa ni pale mwanasiasa hata kama ni kanali mstaafu anapoingilia taaluma za wengi kwa msingi wa kisiasa...
Ata wapunguzwe ili apitishe magendo yake ya meno ya tembo
 
Aa thubutu!! Hakika nakwambia 2025 hakutakuwa na mgombea mwingine wa CCM isipokuwa mama
Kama ni hivyo basi kutakuwa na shida sana kwa upande wake ...maana ili sa100 kuendelea kuwa rais 2025 lazima damu nyingi amwage
 
Ana nyota ya mavi according to you! Mama bado ni Bora kuliko mkatili yule, tumechoka kutawaliwa kibabe! Magu-fool alikuwa analala akiamka anatekeleza alichokiota bila kuangalia madhara yake!
Wewe uoni alikua bora kuliko huyu anayedanganywa na wanao mzungukua hawezi ata tambua jipi zuri na jipi baya
 
Hatogombea!!!!!! Maana hapatakuwa na UCHAGUZI 2025.
Subiri miaka miwili ya mwisho kuelekea 2025 ndiyo utajua ninacho kisema ....maisha yatazidi kuwa mabovu tz kufikia 2023 mwishoni uchumi utakuwa umekufa rasmi.

Mama atapingwa kwa nguvu ndani ya chama chake na nje ya chama chake ..mbinu pekee anayoweza kuitumia ni kuunda serikali ya mseto kabla ya uchaguzi wa 2025 ili aweze kukubalika kuwa rais la sivyo itambidi kumwaga damu nyingi sana ili kuendelea kuwa rais.pia hatakuwa amejisababishia maadui wengi na wabaya sana.

Kama unadhani vuguvugu linalo mpinga mama limepoa ni kwa sababu watu wamemwacha akwamishe nchi yeye mwenyewe asipate sababu ya visingizio kua alikwamishwa ...tazama kama sasa hivi sa100 kaanza kulalamika kuwa kila kitu anatajwa yeye hivyo kusababisha mambo yakienda vibaya ana onekana ni yeye ndiyo sababu
 
Mimi siku zoye huwa nashangaa sana sisi Watanzania tunataka tuongozwe na nani. Tatizo la nchi hii ni sisi Watanzania wenyewe. Siyo la Mh. Samia, Mh.Magufuli au Mh. Kikwete.

Kinachotusumbua sisi ni WOGA.Tunataka maisha mazuri lkn hatuko tayari kuyapigania. Na wenye nchi wameshatujua.

Tutasubiri sana kupata mabadiliko ya kweli.
 
Hanangu nguvu yeyote Mwenyekiti wa CCM hata ya kumkemea mbwa tuu pasipo kuwepo nguvu ya jeshi. Hata Kikwete alisema wazi CCM ikiendelea kutegemea mapolisi kufanya siasa imekwisha.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Labda anazikusudia nguvu za Mwenyekiti ndani ya Ccm yake !!
 
Haya ndio matatizo ya kutegemea maendeleo kutoka kwa Hisani / Power ya mtu mmoja...

Tunahitaji Taasisi Imara hawa wangebaki kuwa symbolic tu, bila ya hivyo hata reforms atakazofanya leo akija kesho mwingine akiamua kubadilisha ?
 
Subiri miaka miwili ya mwisho kuelekea 2025 ndiyo utajua ninacho kisema ....maisha yatazidi kuwa mabovu tz kufikia 2023 mwishoni uchumi utakuwa umekufa rasmi...
Zipo njia mbili za kutuondolea mtanziko MBELENI.
1. KATIBA mpya, ambayo itaahirisha uchaguzi, baada ya kupatikana neema tutaiona, na mambo yatabadilika na tutaenda Kwa Kasi kimaendeleo.

Na njia hii tunaiombea ifanikiwe.

2. Njia ya pili ni njia ngumu sana, ni njia ya CATASTROPHY, Nchi kupigwa na Mungu Kwa Tauni,njaa na Kila aina ya majanga umejaribu kuisema, bt naomba isifanikiwe maana watu wasio na hatia watapozeta maisha.

Kwa njia yoyote tutayoipitia, Bado litatimiza kusudi la Mungu juu ya nchi hii kuwa kimbilio la mataifa yote.

Atainuka kiongozi atakaetimiza kusudi la Mungu duniani.

Tanzania ni Taifa la Mungu Kwa siku hizi za mwisho.
Amen
 
Back
Top Bottom